TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KUTOA HUDUMA YA KLINIKI YA MOYO INAYOTEMBEA MKOANI KAGERA

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KUTOA HUDUMA YA KLINIKI YA MOYO INAYOTEMBEA MKOANI KAGERA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KUTOA HUDUMA YA KLINIKI YA MOYO INAYOTEMBEA MKOANI KAGERA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KUTOA HUDUMA YA KLINIKI YA MOYO INAYOTEMBEA MKOANI KAGERA
kiungo : TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KUTOA HUDUMA YA KLINIKI YA MOYO INAYOTEMBEA MKOANI KAGERA

soma pia


TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KUTOA HUDUMA YA KLINIKI YA MOYO INAYOTEMBEA MKOANI KAGERA

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kagera wanatarajia kutoa huduma ya kliniki ya Moyo inayotembea (Cardiac Mobile Clinic) katika Mkoa wa Kagera kuanzia tarehe 5 hadi tarehe 11 Novemba, 2018.

Huduma tutakazozitoa ni pamoja na upimaji wa vihatarishi vya Magonjwa ya Moyo, ushauri wa kiafya kuhusiana na Magonjwa ya Moyo, na kutoa rufaa kwa wananchi watakaokutwa na matatizo ya Moyo yanayohitajika kupewa rufaa kuja kwenye Taasisi yetu kwa uchunguzi wa tiba zaidi.

Matibabu ya kliniki ya moyo inayotembea ni matibabu endelevu yanayolenga kuhakikisha kuwa wagonjwa wa Moyo waliopo mikoani wanapata huduma bora ya matibabu ya Moyo na kuwa na elimu inayohusiana na magonjwa ya Moyo.

Wananchi wote wa Mkoa wa Kagera pamoja na mikoa ya jirani tunawakaribisha mfike katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kagera ili muweze kupata huduma za uchunguzi za matibabu ya Moyo.



Hivyo makala TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KUTOA HUDUMA YA KLINIKI YA MOYO INAYOTEMBEA MKOANI KAGERA

yaani makala yote TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KUTOA HUDUMA YA KLINIKI YA MOYO INAYOTEMBEA MKOANI KAGERA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KUTOA HUDUMA YA KLINIKI YA MOYO INAYOTEMBEA MKOANI KAGERA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/taasisi-ya-moyo-jakaya-kikwete-jkci_27.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KUTOA HUDUMA YA KLINIKI YA MOYO INAYOTEMBEA MKOANI KAGERA"

Post a Comment