MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA MAONESHO YA BIASHARA MAISARA MJINI UNGUJA.

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA MAONESHO YA BIASHARA MAISARA MJINI UNGUJA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA MAONESHO YA BIASHARA MAISARA MJINI UNGUJA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA MAONESHO YA BIASHARA MAISARA MJINI UNGUJA.
kiungo : MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA MAONESHO YA BIASHARA MAISARA MJINI UNGUJA.

soma pia


MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA MAONESHO YA BIASHARA MAISARA MJINI UNGUJA.

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idi kulia akipata maelezo kutoka kwa Afisa uhusiano wa Taasisi ya Viwango Zanzibar Aisha Abdulkheir Mohammed wakati alipotembelea Banda hilo katika maonesho ya Biashara Maisara Mjini Unguja.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akiangalia Bidhaa za Vipodozi na kupatiwa maelezo kuhusu matumizi yake na Bitatu Suleiman baada ya kutembelea Banda hilo katika maonesho ya Biashara Maisara Mjini Unguja.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akipatiwa bidhaa ya Sabuni zinazotengenezwa na Mjasiria mali wa Zaidat Product Bi Tatu Suleiman baada ya kutembelea Banda hilo katika maonesho ya Biashara Maisara Mjini Unguja.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akiwa amefuatana na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali baada ya  kutembelea sehemu mbalimbali katika maonesho ya Biashara Maisara Mjini Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIAMI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA MAONESHO YA BIASHARA MAISARA MJINI UNGUJA.

yaani makala yote MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA MAONESHO YA BIASHARA MAISARA MJINI UNGUJA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA MAONESHO YA BIASHARA MAISARA MJINI UNGUJA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/makamu-wa-pili-wa-rais-wa-zanzibar_10.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA MAONESHO YA BIASHARA MAISARA MJINI UNGUJA."

Post a Comment