TAARIFA KUHUSU TUKIO LA KUTITIA KWA CHOO KATIKA SHULE YA MSINGI SELIAN ARUMERU

TAARIFA KUHUSU TUKIO LA KUTITIA KWA CHOO KATIKA SHULE YA MSINGI SELIAN ARUMERU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAARIFA KUHUSU TUKIO LA KUTITIA KWA CHOO KATIKA SHULE YA MSINGI SELIAN ARUMERU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAARIFA KUHUSU TUKIO LA KUTITIA KWA CHOO KATIKA SHULE YA MSINGI SELIAN ARUMERU
kiungo : TAARIFA KUHUSU TUKIO LA KUTITIA KWA CHOO KATIKA SHULE YA MSINGI SELIAN ARUMERU

soma pia


TAARIFA KUHUSU TUKIO LA KUTITIA KWA CHOO KATIKA SHULE YA MSINGI SELIAN ARUMERU

Leo Oktoba 26,018 Majira ya Saa tatu na nusu asubuhi tumepata changamoto ya  kutitia na kuanguka kwa Jengo la choo cha shule ya Msingi ya Seliani katika kijiji cha Olevolosi kata ya kimnyaki Wilaya ya Arumeru ambapo katika tukio hilo tumeweza Kuokoa Mwanafunzi Mmoja wa Kiume aliepata majeraha sehemu na bado tunaendelea na jitahada za kuondoa kifusi kilichochanganyikana na matofali ambacho kimezama katika Shimo la choo kilichokuwa na matundu 20

Katika kukabiliana na Changamoto Iliyotokea Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Jerry Muro akiambatana na Katibu Katibu tawala wa Wilaya na viongozi wa Halmashauri ya Arusha walifika kwenye eneo la tukio na kuanza kazi ya kuratibu jitihada za uokoaji wakishirkiana na vikosi vya uokoji na Zimamoto pamoja na mamia ya wananchi wa kata ya kimnyaki ambapo walifanikiwa kumuokoa mwananfunzi Mmoja akiwa amejeruhiwa usoni na kukimbizwa katika hospital ya Seliani kwa matibabu zaidi ambapo mpaka sasa vikosi vya uokoaji vinaendelea na jitihada za kufukua kifusi pamoja na matofali yaliyozama katika choo hicho Cha shule chenye matundu 20 ambacho ndio choo pekee Kinachotumiwa na zaidi ya wanafunzi 1,121 wa shule hiyo.

Katika Eneo la tukio kwanza tulilazimika kurejesha hali ya Amani na kutuliza taharuki za wananchi ambao baadhi Wana watoto wanaosoma katika shule hiyo na kutoa nafasi kwa vikosi vya ukoaji kuendelea na zoezi la kutafuta wanafunzi wengine Kutokana na kutokupatikana kwa Taarifa za awali zinazoonyesha idadi ya Wanafunzi ambao huenda walikuwa kwenye choo hicho.
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe Jerry Muro akimjulia hali mmoja wa wanafunzi aliyejuruhiwa usoni na kukimbizwa katika hospital ya Seliani kwa matibabu zaidi kufuatia kutitia na kuanguka kwa Jengo la choo cha shule ya Msingi ya Seliani katika kijiji cha Olevolosi kata ya kimnyaki Wilaya ya Arumeru 
vikosi vya uokoaji vikiendelea na jitihada za kufukua kifusi pamoja na matofali yaliyozama katika choo hicho Cha shule chenye matundu 20 ambacho ndio choo pekee Kinachotumiwa na zaidi ya wanafunzi 1,121 wa shule hiyo.
vikosi vya uokoaji vikiendelea na jitihada za kufukua kifusi pamoja na matofali yaliyozama katika choo hicho Cha shule chenye matundu 20 ambacho ndio choo pekee Kinachotumiwa na zaidi ya wanafunzi 1,121 wa shule hiyo.
vikosi vya uokoaji vikiendelea na jitihada za kufukua kifusi pamoja na matofali yaliyozama katika choo hicho Cha shule chenye matundu 20 ambacho ndio choo pekee Kinachotumiwa na zaidi ya wanafunzi 1,121 wa shule hiyo. 
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe Jerry Muro akizungumza na wananchi waliojitokeza kushuhutia tukio hilo,ambapo katika mazungumzo yake aliwataka wananchi kutulia na kutoa fursa ya kuendelea kwa zoezi la utoaji wa kifusi ili kujiridhisha na madhara zaidi ambayo huenda yametokea.

KUSOMA ZAIDI  BOFYA HAPA>>>>>>>


Hivyo makala TAARIFA KUHUSU TUKIO LA KUTITIA KWA CHOO KATIKA SHULE YA MSINGI SELIAN ARUMERU

yaani makala yote TAARIFA KUHUSU TUKIO LA KUTITIA KWA CHOO KATIKA SHULE YA MSINGI SELIAN ARUMERU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA KUHUSU TUKIO LA KUTITIA KWA CHOO KATIKA SHULE YA MSINGI SELIAN ARUMERU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/taarifa-kuhusu-tukio-la-kutitia-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAARIFA KUHUSU TUKIO LA KUTITIA KWA CHOO KATIKA SHULE YA MSINGI SELIAN ARUMERU"

Post a Comment