title : SSRA yatoa elimu ya Hifadhi ya Jamii katika maonesho ya Wiki ya Vijana Taifa, Jijini Tanga
kiungo : SSRA yatoa elimu ya Hifadhi ya Jamii katika maonesho ya Wiki ya Vijana Taifa, Jijini Tanga
SSRA yatoa elimu ya Hifadhi ya Jamii katika maonesho ya Wiki ya Vijana Taifa, Jijini Tanga
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Martine Shigela (kulia) akipata maelezo kuhusu Hifadhi ya Jamii kutoka kwa Maafisa wa SSRA, wakati wa Maonesho ya Wiki Vijana Taifa yaliyofanyika katika viwanja vya Tangamano Jijini Tanga.
Meneja wa Huduma za Sheria SSRA Bw, Kitangu Ugula wa kwanza kushoto akitoa Elimu ya Umuhimu wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii kwa wananchi waliotembelea banda la SSRA kwenye Maonesho ya Wiki ya Vijana Taifa Jijini Tanga. Pembeni yake ni Mkurugenzi wa Tafiti, Tathimini na Sera wa SSRA Bw. Joseph Mutashubilwa.
Watumishi wa SSRA wakishiriki zoezi la kufanya usafi katika kituo cha kulelea wazee cha Duga Tanga, katika Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Taifa Jijini Tanga.
Maafisa kutoka SSRA wakito elimu ya Hifahi ya Jamii kwa viongozi wa Baraza la Vijana la Taifa Zanzibar walipotembelea banda la Mamlaka wakati wa Maonesho ya Wiki ya Vijana Taifa yanayofanyika katika Viwanja vya Tangamano Mkoani Tanga.
Watumishi wa SSRA wakishiriki zoezi la kufanya usafi katika kituo cha kulelea wazee cha Duga Tanga, katika Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Taifa Jijini Tanga.
Hivyo makala SSRA yatoa elimu ya Hifadhi ya Jamii katika maonesho ya Wiki ya Vijana Taifa, Jijini Tanga
yaani makala yote SSRA yatoa elimu ya Hifadhi ya Jamii katika maonesho ya Wiki ya Vijana Taifa, Jijini Tanga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SSRA yatoa elimu ya Hifadhi ya Jamii katika maonesho ya Wiki ya Vijana Taifa, Jijini Tanga mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/ssra-yatoa-elimu-ya-hifadhi-ya-jamii.html
0 Response to "SSRA yatoa elimu ya Hifadhi ya Jamii katika maonesho ya Wiki ya Vijana Taifa, Jijini Tanga"
Post a Comment