title : HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYOKUWA KATIKA 'ROTARY DAR MARATHON' LEO
kiungo : HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYOKUWA KATIKA 'ROTARY DAR MARATHON' LEO
HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYOKUWA KATIKA 'ROTARY DAR MARATHON' LEO
Sehemu ya Umati wa washiriki wa mbio mbali mbali katika 'Rotary Dar Marathon' wakiwa tayari kushuhudia washiriki wa mbio ndefu za kilometa 42.2 (42.2KM Marathon) walipokuwa wakianza mbio hizo mapema leo asubuhi katika makutano ya barabara ya Kenyatta na Toure Drive, Masaki jijini Dar es salaam. Mbio hizo zilizohudhuliwa na watu mbali mbali zilikuwa ni zenye mvuto wa aina yake huku wakimbiaji wakionekana kuchuana vikali, huku kila mshiriki alionyesha uwepo wake wa hali ya juu pamoja na kuchelewa kwa takribaki saa mbili za kuanza kwa mbio hizo.
Washiriki wa mbio ndefu za kilometa 42.2 (42.2KM Marathon) wakianza kutimua mbio hizo mapema leo asubuhi katika makutano ya barabara ya Kenyatta na Toure Drive, Masaki jijini Dar es salaam.
Hivyo makala HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYOKUWA KATIKA 'ROTARY DAR MARATHON' LEO
yaani makala yote HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYOKUWA KATIKA 'ROTARY DAR MARATHON' LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYOKUWA KATIKA 'ROTARY DAR MARATHON' LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/hivi-ndivyo-mambo-yalivyokuwa-katika.html
0 Response to "HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYOKUWA KATIKA 'ROTARY DAR MARATHON' LEO"
Post a Comment