title : Rais Magufuli akutana na Wageni mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam
kiungo : Rais Magufuli akutana na Wageni mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais Magufuli akutana na Wageni mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika kikao cha kupokea Taarifa ya Maendeleo ya Ujenzi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma kutoka kwa wataalamu mbalimbali wanaohusika na ujenzi huo. Wakwanza kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi na wa kwanza kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Dkt. Moses Kusiluka
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Tax mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 8, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Tax wapili kutoka kushoto mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Mnyepe wapili kutoka kulia akifatiwa na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara hiyo Bw. Shio. Kushoto ni Msaidizi wa Rais Maswala ya Diplomasia Balozi Zuhura Bundala.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea mfano wa Hundi yenye thamani ya Shilingi milioni 125 kutoka kwa Balozi wa Kenya hapa nchini Mhe. Dkt. Dan Kazungu Kwa ajili ya Rambirambi ya nchi hiyo kwa Tanzania kufuatia ajali ya kivuko cha MV Nyerere huko Mwanza mwezi uliopita. PICHA NA IKULU
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala Rais Magufuli akutana na Wageni mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam
yaani makala yote Rais Magufuli akutana na Wageni mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli akutana na Wageni mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/rais-magufuli-akutana-na-wageni.html
0 Response to "Rais Magufuli akutana na Wageni mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam"
Post a Comment