RAIS DKT SHEIN AHITIMISHA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU JIJINI TANGA.

RAIS DKT SHEIN AHITIMISHA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU JIJINI TANGA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT SHEIN AHITIMISHA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU JIJINI TANGA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT SHEIN AHITIMISHA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU JIJINI TANGA.
kiungo : RAIS DKT SHEIN AHITIMISHA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU JIJINI TANGA.

soma pia


RAIS DKT SHEIN AHITIMISHA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU JIJINI TANGA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein akipokea Mwenge wa Uhuru Kitaifa kutoka kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Nd,Charles Francis Kabeho katika sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa,Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere na Wiki ya Vijana zilizofanyika leo katika Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa,Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere na Wiki ya Vijana zilizofanyika leo katika Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akimsikiliza Nd,Sakum Issa Ameir katika Banda la Vijana kutoka Baraza la Vijana Zanzibar katika maonesho maalum ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika leo katika uwanja wa Tangamano Jijini Tanga,sambamba na sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere zilizofanyika leo katika Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga, [Picha na Ikulu.] 14/10/2018.
Baadhi ya wananchi wa Mkoani Tanga wakiwa katika Uwanja wa Mkwakwani katika sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere na Wiki ya Vijana zilizofanyika leo katika Jiji la Tanga,[Picha na Ikulu.] 14/10/2018. 


Hivyo makala RAIS DKT SHEIN AHITIMISHA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU JIJINI TANGA.

yaani makala yote RAIS DKT SHEIN AHITIMISHA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU JIJINI TANGA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT SHEIN AHITIMISHA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU JIJINI TANGA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/rais-dkt-shein-ahitimisha-kilele-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT SHEIN AHITIMISHA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU JIJINI TANGA."

Post a Comment