title : WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI YATOA UJUMBE WA TAHADHARI KATIKA ULIPAJI KODI YA PANGO LA ARDHI – MEIMOSI
kiungo : WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI YATOA UJUMBE WA TAHADHARI KATIKA ULIPAJI KODI YA PANGO LA ARDHI – MEIMOSI
WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI YATOA UJUMBE WA TAHADHARI KATIKA ULIPAJI KODI YA PANGO LA ARDHI – MEIMOSI
Mwambawahabari- Watumishi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ofisi ya Dar es Salaam wakijipanga kuanza maandamano rasmi katika maadhimisho ya sherehe za Meimosi – viwanja vya uhuru – Dar es Salaam.
…………………………………………………
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kutahadharisha umma kuhusu umuhimu wa ulipaji wa Kodi ya Pango la Ardhi kwa wakati, katika maadhimisho ya sherehe za Meimosi mkoani Moshi, ambapo sherehe hizo zimeazimishwa rasmi kitaifa. Na Dar es Salaam katika viwanja vya Uhuru.
Kutokana na Wizara kuendelea kuwahimiza Wamiliki wa Ardhi kulipa kodi ya pango la Ardhi, Watumishi hao wameona ni wakati muafaka kuendelea kutangaza ujumbe huo kwa mabango katika kuadhimisha sherehe za Meimosi.
Aidha, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Mhe. Mhe. William Lukuvi amesema; ambaye hajalipa Kodi ya Pango la Ardhi, alipe kabla ya mwisho wa mwezi wa sita (6), kwakuwa ifikapo tarehe 30/06 hatua zifuatazo zitachukuliwa dhidi yao; Watashitakiwa Mahakamani, Mali zao zitakamatwa na majengo yatapigwa mnada kupitia madalali na Miliki zao zitafutwa kwa mujibu wa Sheria.
Hivyo makala WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI YATOA UJUMBE WA TAHADHARI KATIKA ULIPAJI KODI YA PANGO LA ARDHI – MEIMOSI
yaani makala yote WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI YATOA UJUMBE WA TAHADHARI KATIKA ULIPAJI KODI YA PANGO LA ARDHI – MEIMOSI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI YATOA UJUMBE WA TAHADHARI KATIKA ULIPAJI KODI YA PANGO LA ARDHI – MEIMOSI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/wizara-ya-ardhi-nyumba-na-maendeleo-ya.html
0 Response to "WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI YATOA UJUMBE WA TAHADHARI KATIKA ULIPAJI KODI YA PANGO LA ARDHI – MEIMOSI"
Post a Comment