MWILI WA PANCHO LATINO WAAGWA LEO JIJINI DAR, KUSAFIRISHWA KWENDA GAIRO KWA MAZISHI

MWILI WA PANCHO LATINO WAAGWA LEO JIJINI DAR, KUSAFIRISHWA KWENDA GAIRO KWA MAZISHI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWILI WA PANCHO LATINO WAAGWA LEO JIJINI DAR, KUSAFIRISHWA KWENDA GAIRO KWA MAZISHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWILI WA PANCHO LATINO WAAGWA LEO JIJINI DAR, KUSAFIRISHWA KWENDA GAIRO KWA MAZISHI
kiungo : MWILI WA PANCHO LATINO WAAGWA LEO JIJINI DAR, KUSAFIRISHWA KWENDA GAIRO KWA MAZISHI

soma pia


MWILI WA PANCHO LATINO WAAGWA LEO JIJINI DAR, KUSAFIRISHWA KWENDA GAIRO KWA MAZISHI

 Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii

MWILI wa aliyekuwa mtayarishaji wa muziki nchini Joshua Saimon Magawa maarufu kama Pancho Latino umeagwa katika viwanja vya Lugalo na kusafirishwa kuelekea Gairo kwa ajili ya mazishi. 

Msemaji wa familia amesema kuwa mpendwa wao alizaliwa 11/5/1988 na  alifariki dunia 9/10 mwaka huu akiwa anaogelea kisiwani Mbudya jijini Dar es salaam, Imeelezwa kuwa marehemu alikuwa anajihusisha na shughuli za utayarishaji wa muziki  (Producer)
Kwa upande wake rapa maarufu Mabeste ambaye nyimbo zake zilifanywa na marehemu ameshindwa kabisa kujizuia kutokana na ukaribu hasa msaada wa marehemu Pancho  katika muziki wake na  amewahimiza wasanii kupendana kama marehemu ambaye alikuwa ni upendo kwa wenzake.

Wasanii na watayarishaji wa muziki wamejitokeza kumuaga Pancho Latino huku wakihimiza upendo baina yao katika maisha yao hapa duniani.
Marehemu ametengeneza hits kadhaa zikiwemo closer ya Vanessa Mdee na Dar es salaam stand up ya Chid benz na anatarajiwa kumpumzishwa kesho huko Gairo(Msingisi)  mjini Morogoro.
Bwana alitoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe amina.
 Sehemu ya Waombolezaji wakipita kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa mtayarishaji wa muziki nchini Joshua Saimon Magawa maarufu kama Pancho Latino, aliyefariki Dunia hivi karibuni.
 Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Mabeste akiwa ni menye huzuni sana wakati wa zoezi la kuaga mwili wa aliyekuwa mtayarishaji wa muziki nchini Joshua Saimon Magawa maarufu kama Pancho Latino.
 Sehemu ya Waombolezaji


Hivyo makala MWILI WA PANCHO LATINO WAAGWA LEO JIJINI DAR, KUSAFIRISHWA KWENDA GAIRO KWA MAZISHI

yaani makala yote MWILI WA PANCHO LATINO WAAGWA LEO JIJINI DAR, KUSAFIRISHWA KWENDA GAIRO KWA MAZISHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWILI WA PANCHO LATINO WAAGWA LEO JIJINI DAR, KUSAFIRISHWA KWENDA GAIRO KWA MAZISHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/mwili-wa-pancho-latino-waagwa-leo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MWILI WA PANCHO LATINO WAAGWA LEO JIJINI DAR, KUSAFIRISHWA KWENDA GAIRO KWA MAZISHI"

Post a Comment