MTANGAZAJI ISAAC GAMBA AFARIKI DUNIA NCHINI UJERUMAN, POLISI WAFANYA UCHUNGUZI WA KIFO CHAKE

MTANGAZAJI ISAAC GAMBA AFARIKI DUNIA NCHINI UJERUMAN, POLISI WAFANYA UCHUNGUZI WA KIFO CHAKE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MTANGAZAJI ISAAC GAMBA AFARIKI DUNIA NCHINI UJERUMAN, POLISI WAFANYA UCHUNGUZI WA KIFO CHAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MTANGAZAJI ISAAC GAMBA AFARIKI DUNIA NCHINI UJERUMAN, POLISI WAFANYA UCHUNGUZI WA KIFO CHAKE
kiungo : MTANGAZAJI ISAAC GAMBA AFARIKI DUNIA NCHINI UJERUMAN, POLISI WAFANYA UCHUNGUZI WA KIFO CHAKE

soma pia


MTANGAZAJI ISAAC GAMBA AFARIKI DUNIA NCHINI UJERUMAN, POLISI WAFANYA UCHUNGUZI WA KIFO CHAKE


Na Ripota Wetu,Globu ya jamii

MTANGAZAJI maarufu nchini Isaac Muyenjwa Gamba ambaye alikuwa akitangaza Idhaa ya Kiswahiliya DW ya Ujeruman amefariki dubia leo akiwa nyumbani kwake mjini Bonn nchini humo.

Taarifa ambazo Michuzi Blog imezipata kutoka kwa wafanyakazi wa DW ambao walikuwa wakifanya naye kazi kabla kifo kumkuta wanasema kwa sasa wanaendelea kufanya mawasiliano na familia yake ili kupata maelekezo.

Wamesema kifo cha Gamba kimewasikitisha na kimewashangaza kwani baada ya kuona hakufika ofisini juzi,jana na leo waliamua kutoa taarifa Polisi na walipoenda nyumbani kwake walivunja mlango na baada ya kuingia ndani walimkuta akiwa tayari amefariki dunia.

Wamesema baada ya Polisi wa nchini humo kuingia ndani waliukuta mwili wa Gamba kwenye kochi.Hivyo wakati wakifanya mawasiliano na familia pia wanasubiri uchunguzi wa Polisi kwanza na kisha waendelee na taratibu nyingine.

"Kwa upande wetu huku Ujeruman tunaendelea kuwasiliana na familia yake wakati tukiendelea kusubiri majibu ya taarifa za uchunguzi wa Polisi," amesema mmoja wa wafanyakazi wa DW aliyeomba jina lake lihifadhiwe kwa nia njema tu.

Gamba wakati wa uhai wake pia amewahi kutangaza Redio One na ITV na kabla ya hapo pia amewahi kutangaza Redio Uhuru na RFA ambapo aina ya utangazaji wake na sauti yake vilimfanya kuwa maarufu nchini Tanzania.

Mungu amlaze mahala pema peponi. Ameen
MTANGAZAJI maarufu nchini Isaac Muyenjwa Gambaa akiwa kazini enzi za uhai wake.


Hivyo makala MTANGAZAJI ISAAC GAMBA AFARIKI DUNIA NCHINI UJERUMAN, POLISI WAFANYA UCHUNGUZI WA KIFO CHAKE

yaani makala yote MTANGAZAJI ISAAC GAMBA AFARIKI DUNIA NCHINI UJERUMAN, POLISI WAFANYA UCHUNGUZI WA KIFO CHAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MTANGAZAJI ISAAC GAMBA AFARIKI DUNIA NCHINI UJERUMAN, POLISI WAFANYA UCHUNGUZI WA KIFO CHAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/mtangazaji-isaac-gamba-afariki-dunia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MTANGAZAJI ISAAC GAMBA AFARIKI DUNIA NCHINI UJERUMAN, POLISI WAFANYA UCHUNGUZI WA KIFO CHAKE"

Post a Comment