Mkutano wa Kitaifa wa Wadau wa Habari Tanzania "National Forum On Shrinking Media And Civic Space" Wafanyika Zanzibar Hoteli ya Ocean View Kilimani.

Mkutano wa Kitaifa wa Wadau wa Habari Tanzania "National Forum On Shrinking Media And Civic Space" Wafanyika Zanzibar Hoteli ya Ocean View Kilimani. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkutano wa Kitaifa wa Wadau wa Habari Tanzania "National Forum On Shrinking Media And Civic Space" Wafanyika Zanzibar Hoteli ya Ocean View Kilimani., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkutano wa Kitaifa wa Wadau wa Habari Tanzania "National Forum On Shrinking Media And Civic Space" Wafanyika Zanzibar Hoteli ya Ocean View Kilimani.
kiungo : Mkutano wa Kitaifa wa Wadau wa Habari Tanzania "National Forum On Shrinking Media And Civic Space" Wafanyika Zanzibar Hoteli ya Ocean View Kilimani.

soma pia


Mkutano wa Kitaifa wa Wadau wa Habari Tanzania "National Forum On Shrinking Media And Civic Space" Wafanyika Zanzibar Hoteli ya Ocean View Kilimani.

 
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania MCT Ndg. Kajubi Mukajanga akifungua mkutano huo wa Kitaifa wa Wadau wa Habari Tanzania kusikika uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar, Mkutano huo umewashirikisha Wahariri na Wadau wa Habari kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.
Baadhi ya Wadau wa Habari wakifuatilia mkutano huo wa Mafunzo ulioandaliwa na Baraza la Habari Tanzania MCT, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Zanzibar. 
 Afisa wa Baraza la Habari Tanzania MCT Bi. Pili Mtambalike akizungumza wakati wa ufunguzi huo wa Mkutano wa Kitaifa Mafunzo ya kuzungumzia kuhusiana na Civic Space,uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Muwezeshaji wa Mada katika Mkutano wa Mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Media and Civic Space Shrinking in Tanzania ? akitowa maelezo ya Mikutano miwili iliofanyika Zanzibar na Dar es Salaam. kuzungumzia maswala hayo.Akitowa Mijadali ya pande hizo mbili na kuwasilisha kwa Wajumbe.  





















Hivyo makala Mkutano wa Kitaifa wa Wadau wa Habari Tanzania "National Forum On Shrinking Media And Civic Space" Wafanyika Zanzibar Hoteli ya Ocean View Kilimani.

yaani makala yote Mkutano wa Kitaifa wa Wadau wa Habari Tanzania "National Forum On Shrinking Media And Civic Space" Wafanyika Zanzibar Hoteli ya Ocean View Kilimani. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkutano wa Kitaifa wa Wadau wa Habari Tanzania "National Forum On Shrinking Media And Civic Space" Wafanyika Zanzibar Hoteli ya Ocean View Kilimani. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/mkutano-wa-kitaifa-wa-wadau-wa-habari.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkutano wa Kitaifa wa Wadau wa Habari Tanzania "National Forum On Shrinking Media And Civic Space" Wafanyika Zanzibar Hoteli ya Ocean View Kilimani."

Post a Comment