title : MATUKIO KATIKA PICHA SPIKA NDUGAI AKIWA KATIKA MISA MAALUMU YA KITAIFA YA KUMUOMBEA HAYATI BABA WA TAIFA LEO JIJINI TANGA
kiungo : MATUKIO KATIKA PICHA SPIKA NDUGAI AKIWA KATIKA MISA MAALUMU YA KITAIFA YA KUMUOMBEA HAYATI BABA WA TAIFA LEO JIJINI TANGA
MATUKIO KATIKA PICHA SPIKA NDUGAI AKIWA KATIKA MISA MAALUMU YA KITAIFA YA KUMUOMBEA HAYATI BABA WA TAIFA LEO JIJINI TANGA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na waumini (hawapo kwenye picha) wa kanisa kuu la Mtakatifu Antoni wa Padua Jimbo katoliki la Tanga katika Misa Maalumu ya kitaifa ya kumuombea Hayati Baba wa Taifa iliyofanyika leo tarehe 14 Octoba, 2018 Jijini Tanga.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati)akiwa katika picha pamoja na wakimbiza mwenge wa uhuru katika tukio lililofanyika leo tarehe 14 Octoba, 2018 katika uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga, katika kuzima mwenge kitaifa
Waumini wa kanisa kuu la Mtakatifu Antoni wa Padua Jimbo katoliki la Tanga wakiwa katika Misa Maalumu ya kitaifa ya kumuombea Hayati Baba wa Taifa iliyofanyika leo tarehe 14 Octoba, 2018 Jijini Tanga.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiagana na Askofu Mkuu wa kanisa kuu la Mtakatifu Antoni wa Padua Jimbo katoliki la Tanga, Anthony Banzi baada ya kumalizika kwa Misa Maalumu ya kitaifa ya kumuombea Hayati Baba wa Taifa iliyofanyika leo tarehe 14 Octoba, 2018 Jijini Tanga.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (watatu kushoto) aongoza viongozi Mbali mbali wa kitaifa katika Misa Maalumu ya kitaifa ya kumuombea Hayati Baba wa Taifa iliyofanyika leo tarehe 14 Octoba, 2018 katika kanisa kuu la Mtakatifu Antoni wa Padua Jimbo katoliki la Tanga Jijini Tanga.(PICHA NA OFISI YA BUNGE
Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA SPIKA NDUGAI AKIWA KATIKA MISA MAALUMU YA KITAIFA YA KUMUOMBEA HAYATI BABA WA TAIFA LEO JIJINI TANGA
yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA SPIKA NDUGAI AKIWA KATIKA MISA MAALUMU YA KITAIFA YA KUMUOMBEA HAYATI BABA WA TAIFA LEO JIJINI TANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA SPIKA NDUGAI AKIWA KATIKA MISA MAALUMU YA KITAIFA YA KUMUOMBEA HAYATI BABA WA TAIFA LEO JIJINI TANGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/matukio-katika-picha-spika-ndugai-akiwa.html
0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA SPIKA NDUGAI AKIWA KATIKA MISA MAALUMU YA KITAIFA YA KUMUOMBEA HAYATI BABA WA TAIFA LEO JIJINI TANGA"
Post a Comment