Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani Yafikia Tamati Katika Viwanja Vya Chamanangwe Pemba Wajasiriamali Waomba Kuongezea Siku Mbili za Ziada

Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani Yafikia Tamati Katika Viwanja Vya Chamanangwe Pemba Wajasiriamali Waomba Kuongezea Siku Mbili za Ziada - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani Yafikia Tamati Katika Viwanja Vya Chamanangwe Pemba Wajasiriamali Waomba Kuongezea Siku Mbili za Ziada, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani Yafikia Tamati Katika Viwanja Vya Chamanangwe Pemba Wajasiriamali Waomba Kuongezea Siku Mbili za Ziada
kiungo : Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani Yafikia Tamati Katika Viwanja Vya Chamanangwe Pemba Wajasiriamali Waomba Kuongezea Siku Mbili za Ziada

soma pia


Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani Yafikia Tamati Katika Viwanja Vya Chamanangwe Pemba Wajasiriamali Waomba Kuongezea Siku Mbili za Ziada

 Balozi Seif akiangalia baadhi ya bidhaa zilizoshonwa na Wajasiriamali wa Zanzibar zilizopo katika mabanda ya maonyesho Chamanangwe na kuamua kuwaongezea Siku mbili wanamaonyesho hao.
Msimamizi wa Mradi wa uzalishaji wa Mafuta ya Alizeti Omar Hamad akimueleza Balozi Seif mbinu na mikakati wanayotumia katika ualishaji wa mafuta hayo katika kiwango kinachokubalika sokoni.
 Balozi Seif akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa Maonyesho ya Siku ya Chakula Duniani katika kundi la Wajasiriamali bwana Nassor Abdulla Nassor.
 Balozi Seif akizungumza na Wananchi wa Mikoa Miwili ya Pemba wakati akiyafunga Maonyesho ya Siku ya Kilimo Duniani hapo Chamanangwe na kutoa siku mbili za ziada kuendelea na zoezi hili ili kuwapa fursa wananchi kuendelea kupata taaluma.
 Baadhi ya Viongozi wa Serikali, Manaibu Mawaziri na Makatibu Wakuu wakifuatilia Hotuba ya Mgeni rasmi Balozi Seif wakati akiyafunga Maonyesho ya Siku ya Chakula Duniani.
 Baadhi ya Wananchi wa Mikoa Miwili ya Pemba wakifuatilia Hotuba ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hayupo pichani. 
 Meneja wa Shirika la Umeme Zanzibar {ZECO} Hassan Ali Hassan akipokea zawadi baada ya shirika hilo kuibupa mshindi kwa Taasisi za Kibiashara.
Balozi Seif akimkabidhi zawadi Kamanda wa Chuo cha Mafunzo baada ya Taasisi hiyo kuibuka na ushindi wa Nidhamu.
Picha na – OMPR – ZNZ.


Hivyo makala Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani Yafikia Tamati Katika Viwanja Vya Chamanangwe Pemba Wajasiriamali Waomba Kuongezea Siku Mbili za Ziada

yaani makala yote Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani Yafikia Tamati Katika Viwanja Vya Chamanangwe Pemba Wajasiriamali Waomba Kuongezea Siku Mbili za Ziada Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani Yafikia Tamati Katika Viwanja Vya Chamanangwe Pemba Wajasiriamali Waomba Kuongezea Siku Mbili za Ziada mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/maonesho-ya-siku-ya-chakula-duniani_19.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani Yafikia Tamati Katika Viwanja Vya Chamanangwe Pemba Wajasiriamali Waomba Kuongezea Siku Mbili za Ziada"

Post a Comment