MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA BANDA LA NIDA; AFURAHISHWA NA HATUA ZA USAJILI

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA BANDA LA NIDA; AFURAHISHWA NA HATUA ZA USAJILI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA BANDA LA NIDA; AFURAHISHWA NA HATUA ZA USAJILI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA BANDA LA NIDA; AFURAHISHWA NA HATUA ZA USAJILI
kiungo : MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA BANDA LA NIDA; AFURAHISHWA NA HATUA ZA USAJILI

soma pia


MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA BANDA LA NIDA; AFURAHISHWA NA HATUA ZA USAJILI

Mwambawahabari
1
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Banda la maonyesho la Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Makamu wa Rais alipokelewa na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Bi. Rose Mdami
3
Makamu wa Rais anapokea taarifa ya shughuli za Usajili ambazo zimekuwa zikifanyika katika Banda la Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa wakati wa Maonyesho ya Nanenane kwenye Viwanja vya Ngongo – Lindi.
4
Makamu wa Rais akikagua Vitambulisho vinavyogawanywa kwa wananchi Wananchi wakati wa maonyesho ya Nanenane mkoani Lindi.
5
Mhe. Makamu wa Rais akikagua fomu za Usajili zinavyohakikiwa kabla ya mwananchi kuchukuliwa alama za Vidole, Picha na Saini ya Kielektroniki.
6
Makamu wa Rais akikagua mashine za Usajili zinazotumika kuwasajili wananchi; ikiwemo uchukuaji wa alama za kibaiolojia, Picha na Saini ya Kielektroniki
7
Watumishi wa NIDA wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kupata ushindi kwenye maonyesho ya Nanenane kwa mwaka 2017.
……………………….
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametembelea banda la Maonyesho la Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA na kufurahishwa na ufanisi mkubwa katika kuunganisha mifumo ya Serikali yenye kulenga utoaji huduma bora na kurahisisha shughuli ya Utambuzi kwa wananchi.

Mheshimiwa Makamu wa Rais ametembelea Banda la NIDA akiwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya kilele cha maonyesho ya sikukuu ya Wakulima Kitaifa maarufu Nanenane yaliyofanyika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi. Mhe. Samia aliambatana na viongozi mbalimbali wa Kitaifa akiwemo Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. Dr. Charles Tizeba.

Katika maonyesho hayo NIDA ni miongoni mwa Taasisi zilizofanya vizuri na kupata ushindi katika makundi 15 yaliyotangazwa.


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA BANDA LA NIDA; AFURAHISHWA NA HATUA ZA USAJILI

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA BANDA LA NIDA; AFURAHISHWA NA HATUA ZA USAJILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA BANDA LA NIDA; AFURAHISHWA NA HATUA ZA USAJILI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/makamu-wa-rais-mhe-samia-suluhu-hassan.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA BANDA LA NIDA; AFURAHISHWA NA HATUA ZA USAJILI"

Post a Comment