MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA WILAYANI KISARAWE

MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA WILAYANI KISARAWE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA WILAYANI KISARAWE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA WILAYANI KISARAWE
kiungo : MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA WILAYANI KISARAWE

soma pia


MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA WILAYANI KISARAWE



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara za lami Kisarawe mjini, Makamu wa Rais yupo wilayani Kisarawe ikiwa sehemu ya ziara yake ya siku sita ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo mkoani Pwani. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Kisarawe ,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais  TAMISEMI Mhe. Selemeni Jafo mara baada ya kukagua ujenzi wa mradi wa tenki la maji litakalokuwa na uwezo wa kubeba lita milioni 6 katika eneo la Mnarani Kisarawe. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)



Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA WILAYANI KISARAWE

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA WILAYANI KISARAWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA WILAYANI KISARAWE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/makamu-wa-rais-aendelea-na-ziara.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA WILAYANI KISARAWE"

Post a Comment