title : Maadhimisho ya Siku ya Maafa Duniani Yaadhimishwa Kitaifa Kisiwani Pembe Ukumbi wa Kiwanda Cha Makonyo Wawi Chakechake.
kiungo : Maadhimisho ya Siku ya Maafa Duniani Yaadhimishwa Kitaifa Kisiwani Pembe Ukumbi wa Kiwanda Cha Makonyo Wawi Chakechake.
Maadhimisho ya Siku ya Maafa Duniani Yaadhimishwa Kitaifa Kisiwani Pembe Ukumbi wa Kiwanda Cha Makonyo Wawi Chakechake.
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akizungumza na wananchi na viongozi mbali mbali wa Serikali katika maadhimisho ya siku ya maafa Duniani, yaliyofanyika huko katika ukumbi wa kinda cha makonyo Wawi Chake Chake
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali iddi, akisalimiana na afisa mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Pemba, Ali Salim Matta, mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa kiwanda cha makonyo Wawi cahke Chake katika maadhimisho ya siku ya maafa duniani
VIONGOZI mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiongozwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakipiga makofi mara baada ya kumalizika wimbo wa taisa wa sisi sote tumegombaka, huko katika maadhimisho ya siku ya maafa Duniani yaliyofanyika katika kiwanda cha Makonyo Wawi
MKURUGENZI wa Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar Makame Khatib, akizungumza katika maadhimisho ya siku ya maafa dunini yaliyofanyika katika ukumbi wa kiwanda cha makonyo Wawi Chake Chake Pemba
NAIBU waziri Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mihayo Juma N'hunga, akizungumza katika maadhimisho ya siku ya maafa Duniani huko katika kiwanja cha Makonyo Wawi Chake Chake
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akizungumza na wananchi na viongozi mbali mbali wa Serikali katika maadhimisho ya siku ya maafa Duniani, yaliyofanyika huko katika ukumbi wa kinda cha makonyo Wawi Chake Chake
VIONGOZI mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiongozwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakipiga makofi mara baada ya kumalizika wimbo wa taisa wa sisi sote tumegombaka, huko katika maadhimisho ya siku ya maafa Duniani yaliyofanyika katika kiwanda cha Makonyo Wawi.
(Picha na Abdi Suleiman - PEMBA)
Hivyo makala Maadhimisho ya Siku ya Maafa Duniani Yaadhimishwa Kitaifa Kisiwani Pembe Ukumbi wa Kiwanda Cha Makonyo Wawi Chakechake.
yaani makala yote Maadhimisho ya Siku ya Maafa Duniani Yaadhimishwa Kitaifa Kisiwani Pembe Ukumbi wa Kiwanda Cha Makonyo Wawi Chakechake. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maadhimisho ya Siku ya Maafa Duniani Yaadhimishwa Kitaifa Kisiwani Pembe Ukumbi wa Kiwanda Cha Makonyo Wawi Chakechake. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/maadhimisho-ya-siku-ya-maafa-duniani.html
0 Response to "Maadhimisho ya Siku ya Maafa Duniani Yaadhimishwa Kitaifa Kisiwani Pembe Ukumbi wa Kiwanda Cha Makonyo Wawi Chakechake."
Post a Comment