title : Legal Services Facility yashiriki kuadhimisha wiki ya Asasi za Kiraia Dodoma
kiungo : Legal Services Facility yashiriki kuadhimisha wiki ya Asasi za Kiraia Dodoma
Legal Services Facility yashiriki kuadhimisha wiki ya Asasi za Kiraia Dodoma
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt John Jingu ambaye pia ni mgeni rasmi katika ufunguzi wa wiki ya Azaki ya kiraia akipata maelezo juu kutoka kwa Meneja Biashara na Mawasiliano wa Legal Service Facilty (LSF), Jane Matinde alipotembelea banda la maondesho kuona kazi mbalimbali zinazofanywa na watoa huduma wa msaada wa kisheria chini ya ufadhili wa LSF.
Meneja Biashara na Mawasiliano wa Legal Service Facilty (LSF), Jane Matinde akimshukuru Raisi wa Foundation for Civil Society, Dr Tenga wakati alipotembele banda la Legal Services Facility (LSF) wakati wa ufunguzi wa wiki ya Azaki Tanzania. akishuhudia, Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt John Jingu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt John Jingu ambaye pia ni mgeni rasmi katika ufunguzi wa wiki ya Azaki ya kiraia akisalimiana na moja ya watoa huduma za msaada wa kisheria (paralegal) wa mkoa wa Dodoma bwana Aggrey Masaga Wakati alipotembelea banda la maondesho kuona kazi mbalimbali zinazofanywa na watoa huduma wa msaada wa kisheria chini ya ufadhili wa LSF. Akishuhudia ni Meneja Biashara na Mawasiliano wa Legal Service Facilty (LSF), Jane Matinde.
Hivyo makala Legal Services Facility yashiriki kuadhimisha wiki ya Asasi za Kiraia Dodoma
yaani makala yote Legal Services Facility yashiriki kuadhimisha wiki ya Asasi za Kiraia Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Legal Services Facility yashiriki kuadhimisha wiki ya Asasi za Kiraia Dodoma mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/legal-services-facility-yashiriki.html
0 Response to "Legal Services Facility yashiriki kuadhimisha wiki ya Asasi za Kiraia Dodoma"
Post a Comment