title : KATIKA KUHAKIKISHA VODACOM INAWAFIKIA WATEJA WAKE,YAFUNGUA DUKA WILAYANI HAI,KILIMANJARO
kiungo : KATIKA KUHAKIKISHA VODACOM INAWAFIKIA WATEJA WAKE,YAFUNGUA DUKA WILAYANI HAI,KILIMANJARO
KATIKA KUHAKIKISHA VODACOM INAWAFIKIA WATEJA WAKE,YAFUNGUA DUKA WILAYANI HAI,KILIMANJARO
Mkuu wa wilaya ya Hai, Bw. Lengai Ole Sabaya akizindua rasmi duka la Vodacom Tanzania jana wilayani hapo ikiwa ni mpango wa kuhahakikisha wanafikia wateja wao wote, popote walipo. Kando yake ni Agripina Boisafi, Mkuu wa Duka hilo. 
Picha 3648: Mkuu wa Wilaya ya Hai, Bw Lengai Ole Sabaya akisaini kitabu cha kumbukumbu baada ya kuzindua duka la Vodacom Tanzania wilayani hapo jana. Wa tatu kulia ni Mkuu wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kazkazini, Brigita Steven na Mkuu wa duka hilo, Bi Agripina Boisafi (wa kwanza kushoto) pamoja na wafanyakazi wa Vodacom.
Hivyo makala KATIKA KUHAKIKISHA VODACOM INAWAFIKIA WATEJA WAKE,YAFUNGUA DUKA WILAYANI HAI,KILIMANJARO
yaani makala yote KATIKA KUHAKIKISHA VODACOM INAWAFIKIA WATEJA WAKE,YAFUNGUA DUKA WILAYANI HAI,KILIMANJARO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIKA KUHAKIKISHA VODACOM INAWAFIKIA WATEJA WAKE,YAFUNGUA DUKA WILAYANI HAI,KILIMANJARO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/katika-kuhakikisha-vodacom-inawafikia.html
0 Response to "KATIKA KUHAKIKISHA VODACOM INAWAFIKIA WATEJA WAKE,YAFUNGUA DUKA WILAYANI HAI,KILIMANJARO"
Post a Comment