title : HAJI MANARA ATOA ZAWADI YA JEZI NA MIPIRA KWA SHULE ZOTE ZA TANDALE
kiungo : HAJI MANARA ATOA ZAWADI YA JEZI NA MIPIRA KWA SHULE ZOTE ZA TANDALE
HAJI MANARA ATOA ZAWADI YA JEZI NA MIPIRA KWA SHULE ZOTE ZA TANDALE
Na Khadija Seif ,Globu ya jamii
Msemaji wa timu ya Simba Haji Sunday Manara ametoa zawadi ya jezi pamoja na mipira kwa shule zote za Kata ya Tandale na kutoa wito kwa wazazi kutowanyima fursa watoto wao ambao wanavipaji ili kuwa mfano mzuri kama alivofanya msanii huyo Daimond Platinum .
Aidha amewapa taarifa rasmi atashirikiana bega kwa bega kwa wana michezo wa kata hiyo kuanzisha michuano ya Tandale Cup na kutoa fedha ya taslim kwa mshindi wa kwanza shilingi million 1, na kwa mshindi wa pili na watatu .
Manara ametoa fursa kwa Wanafunzi wa ulemavu wa ngozi pamoja na viungo kuwalipia ada mwakani kwa Wanafunzi watakaoingia kidato cha kwanza na darasa la kwanza.
Hivyo makala HAJI MANARA ATOA ZAWADI YA JEZI NA MIPIRA KWA SHULE ZOTE ZA TANDALE
yaani makala yote HAJI MANARA ATOA ZAWADI YA JEZI NA MIPIRA KWA SHULE ZOTE ZA TANDALE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HAJI MANARA ATOA ZAWADI YA JEZI NA MIPIRA KWA SHULE ZOTE ZA TANDALE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/haji-manara-atoa-zawadi-ya-jezi-na.html
0 Response to "HAJI MANARA ATOA ZAWADI YA JEZI NA MIPIRA KWA SHULE ZOTE ZA TANDALE"
Post a Comment