SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI
kiungo : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI

soma pia


SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI

  Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu kabla ya kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Lengo likiwa ni kuboresha uhusiano kati ya Bunge na Ubalozi huo,  pia kujifunza shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu  wakati wa kikao baina yao kilicholenga kuboresha uhusiano kati ya Bunge na Ubalozi, nakujifunza shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. kikao kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu baada ya mazungumzo yaliyofanyika  leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI

yaani makala yote SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/spika-ndugai-akutana-na-kufanya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI"

Post a Comment