BODABODA ZINAZOINGIA KATIKATI YA JIJI LA DAR SASA KUKIONA-KAMANDA MAMBOSASA

BODABODA ZINAZOINGIA KATIKATI YA JIJI LA DAR SASA KUKIONA-KAMANDA MAMBOSASA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BODABODA ZINAZOINGIA KATIKATI YA JIJI LA DAR SASA KUKIONA-KAMANDA MAMBOSASA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BODABODA ZINAZOINGIA KATIKATI YA JIJI LA DAR SASA KUKIONA-KAMANDA MAMBOSASA
kiungo : BODABODA ZINAZOINGIA KATIKATI YA JIJI LA DAR SASA KUKIONA-KAMANDA MAMBOSASA

soma pia


BODABODA ZINAZOINGIA KATIKATI YA JIJI LA DAR SASA KUKIONA-KAMANDA MAMBOSASA

*Ndani ya saa 24 zakamatwa 104, wahusika kufikishwa mahakamani


Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limeanza operesheni maalumu ya kukamata bodaboda zote zinazoingia katikati ya Jiji ambapo ndani ya saa 24 wamekamata pikipiki 104.

Hayo yamesemwa leo na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa wakati anazungumza na waandishi wa habari kuhusu operesheni ambazo wanazifanya.

Amefafanua Polisi wameanza operesheni ya kukamata waendesha bodaboda ambao wanaingia katikati ya mji wakati wamezuiliwa kuingia mjini.Kamanda Mambosasa amesema baadhi ya bodaboda ambazo zimekamatwa zimetokana na makosa ya kutovaa kofia ngumu kwa wanaoendesha,kupitia njia tofauti na utaratibu uliowekwa kwa mujibu wa sheria na kupakia mishikaki.

"Ni marufuku bodaboda kuingia katikati ya Mji,hatuwezi kuacha hilo likaendelea kufanyika.Walishakatazwa kuingia katikati ya mji." Mbali ya kuwakamata wanaiongia mjini pia tunaendelea na operesheni ya kukamata bodaboda ambazo zinatumika kutenda matukio ya uhalifu.Pia tutakamata bodaboda ambazo wanaoziendesha wanashindwa kufuata sheria za usalama barabarani.



Hivyo makala BODABODA ZINAZOINGIA KATIKATI YA JIJI LA DAR SASA KUKIONA-KAMANDA MAMBOSASA

yaani makala yote BODABODA ZINAZOINGIA KATIKATI YA JIJI LA DAR SASA KUKIONA-KAMANDA MAMBOSASA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BODABODA ZINAZOINGIA KATIKATI YA JIJI LA DAR SASA KUKIONA-KAMANDA MAMBOSASA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/bodaboda-zinazoingia-katikati-ya-jiji.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BODABODA ZINAZOINGIA KATIKATI YA JIJI LA DAR SASA KUKIONA-KAMANDA MAMBOSASA"

Post a Comment