title : YANGA YACHANJA MBUGA LIGI KUU.
kiungo : YANGA YACHANJA MBUGA LIGI KUU.
YANGA YACHANJA MBUGA LIGI KUU.
Timu ya Yanga imeendelea kujiwekea malengo mazuri ya kupigania ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu kwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union.Mchezo huo ulioshuhudiwa ukipigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, ulizitikisa nyavu za wagosi wa kaya mnamo dakika ya 12 kupitia kwa Heritier Makambo 'Makambovic'.
Bao ilo limeisaidia Yanga kujikusanyia jumla ya alama 9 mpaka sasa ikishinda mechi zake zote tatu.
Katika mchezo huo, Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera alimuanzisha kama kawaida kipa mkongomani Klaus Kindoki ambaye alipokea lawama kali katika mechi iliyopita.
Kindoki aliruhusu kufungwa mabao matatu matatu dhidi ya Stand United huku wakiibuka na ushindi wa mabao 4-3 lakini leo ameonekana kulitendea haki lango la timu yake.
Hivyo makala YANGA YACHANJA MBUGA LIGI KUU.
yaani makala yote YANGA YACHANJA MBUGA LIGI KUU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YANGA YACHANJA MBUGA LIGI KUU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/yanga-yachanja-mbuga-ligi-kuu.html
0 Response to "YANGA YACHANJA MBUGA LIGI KUU."
Post a Comment