KAGERE AFUNGUKA BAADA YA KUPATA TUZO MCHEZAJI BORA.

KAGERE AFUNGUKA BAADA YA KUPATA TUZO MCHEZAJI BORA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAGERE AFUNGUKA BAADA YA KUPATA TUZO MCHEZAJI BORA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAGERE AFUNGUKA BAADA YA KUPATA TUZO MCHEZAJI BORA.
kiungo : KAGERE AFUNGUKA BAADA YA KUPATA TUZO MCHEZAJI BORA.

soma pia


KAGERE AFUNGUKA BAADA YA KUPATA TUZO MCHEZAJI BORA.

Baada ya kamati ya Tuzo ya Ligi Kuu Bara kumtaja mshambuliaji wa Simba, Med­die Kagere ameweka wazi kuwa kupata tuzo ya Mche­zaji Bora wa mwezi Agosti ni faraja kwake kutokana na watu kuiona kazi yake.

Kagere alipata tuzo hiyo baada ya kuwazidi wachezaji aliokuwa anashindanishwa nao ambao ni Omary Mponda wa Kagera Sugar mwenye mabao 2 na Joseph Ma­hundi wa Azam FC mwenye mabao 2, huku Kagere akiwa na mabao 3 baada ya kucheza mechi mbili.

Kagere alisema kuwa ni jambo la faraja hasa kwa kazi yake kuweza kuonekana na watu kuithamini hivyo anaamini huo kwake ni mwanzo mzuri na hakuwa na muda wa kumfuatilia Makambo wakati Yanga ilipocheza na Stand United.

“Nina­washukuru sana ambao wameniteua na kunipa tuzo hiyo ya mchezaji wa mwezi nase­ma Asante, ila mafanikio haya ni kwa ajili ya timu yangu na mashabiki ambao wapo pamoja nasi bega kwa bega.

“Kila baada ya kumaliza mchezo mmoja natambua kuwa kuna mwingine un­akuja hivyo napenda sana kuwashukuru, kuhusu kutumia muda wangu kutaza­ma mchezo wa Yanga sijafan­ya hivyo kwa kuwa nilikuwa nafuatilia ligi ya Ulaya” al­isema Kagere aliyekipiga Gor Mahia ya Kenya kabla ya ku­tua Simba


Hivyo makala KAGERE AFUNGUKA BAADA YA KUPATA TUZO MCHEZAJI BORA.

yaani makala yote KAGERE AFUNGUKA BAADA YA KUPATA TUZO MCHEZAJI BORA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAGERE AFUNGUKA BAADA YA KUPATA TUZO MCHEZAJI BORA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/kagere-afunguka-baada-ya-kupata-tuzo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAGERE AFUNGUKA BAADA YA KUPATA TUZO MCHEZAJI BORA."

Post a Comment