WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WASAINI MKATABA WA MKOPO WENYE RIBA ZIRO NA BENKI YA DUNIA

WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WASAINI MKATABA WA MKOPO WENYE RIBA ZIRO NA BENKI YA DUNIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WASAINI MKATABA WA MKOPO WENYE RIBA ZIRO NA BENKI YA DUNIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WASAINI MKATABA WA MKOPO WENYE RIBA ZIRO NA BENKI YA DUNIA
kiungo : WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WASAINI MKATABA WA MKOPO WENYE RIBA ZIRO NA BENKI YA DUNIA

soma pia


WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WASAINI MKATABA WA MKOPO WENYE RIBA ZIRO NA BENKI YA DUNIA

Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.

WIZARA ya Fedha na mipango kwa niaba ya serikali imesaini mkataba Mkopo wa fedha kati ya serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania na benki kuu ya dunia jijini Dar es salaam leo kwaajili ya kusafirisha, kuzalisha na kusambaza nishati ya umeme na maji.

Akizungumza na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wizara ya fedha na Mipango, Dotto James amesema kuwa mkataba huu wa mkopo huu utahusisha usambazaji wa maji katika maeneo ya vijijini katika mikoa 17 ya Tanzania pamoja na umeme. Pia Katibu Mkuu wizara ya fedha na mipango amewashukuru benki ya dunia kwa kutoa mkopo usio na riba kabisa.

Mkopo huo kutoka Benki ya dunia kiasi cha shilingi trilioni 1.04 ambapo itatumika katika mradi wa umeme na maji kwa mikoa ya kusini ambayo ni Iringa Kisada,Tunduma, Mbeya hadi mpaka wa Zambia.

Nae Katibu Mkuu wizara ya Maji safi na maji taka, Kitila Mkumbo amesema kuwa fedha hizo zitatumika kikamilifu katika lengo lililopangwa na serikali kwa mikoa 17 katika usambazaji wa maji maeneo ya vijijini.

Kwa upande wa Katibu Mtendaji uwekezaji wizara ya Nishati na Madini, Khalid James amesema kuwa kwa upande wa Nishati ya umeme wataweza kuunganisha gridi ya Taifa kwa mikoa ambayo haijafikiwa na gridi ya taifa.
Katibu Mkuu wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Septemba 7,2018 kabla ya kusaini Mkataba wa mkopo wa fedha kwaajili ya usambazaji wa maji vijijini na uboreshaji, utengenezaji na kuzalisha umeme hapa nchini.
Katibu Mkuu wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James (Kulia) na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird (Kushoto) wakisaini Mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu na wenye riba ziro kwaajili ya uboreshaji na utengenezaji mifumo ya umeme na maji katika maeneo ya vijijini hapa nchi.
Katibu Mkuu wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James (Kulia) na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird (Kushoto) wakibadilishana Mkataba wa mkopo jijini Dar es Salaam leo, Septemba 7,2018 wenye masharti nafuu na wenye riba ziro kwaajili ya uboreshaji na utengenezaji mifumo ya umeme na maji katika maeneo ya vijijini hapa nchi.
Katibu Mkuu wa wizara ya maji safi na maji taka (DAWASO), Kitila Mkumbo akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kuhusu mpango waliojiwekea katika kuboresha na kusambaza maji hapa nchini katika maeneo ya vijijini. Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird.
Picha na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.


Hivyo makala WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WASAINI MKATABA WA MKOPO WENYE RIBA ZIRO NA BENKI YA DUNIA

yaani makala yote WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WASAINI MKATABA WA MKOPO WENYE RIBA ZIRO NA BENKI YA DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WASAINI MKATABA WA MKOPO WENYE RIBA ZIRO NA BENKI YA DUNIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/wizara-ya-fedha-na-mipango-wasaini.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WASAINI MKATABA WA MKOPO WENYE RIBA ZIRO NA BENKI YA DUNIA"

Post a Comment