KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI YAPATIWA MAFUNZO BUNGENI JIJINI DODOMA

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI YAPATIWA MAFUNZO BUNGENI JIJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI YAPATIWA MAFUNZO BUNGENI JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI YAPATIWA MAFUNZO BUNGENI JIJINI DODOMA
kiungo : KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI YAPATIWA MAFUNZO BUNGENI JIJINI DODOMA

soma pia


KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI YAPATIWA MAFUNZO BUNGENI JIJINI DODOMA

 Mtaalamu wa masuala ya Jinsia, Bajeti kwa Mtazamo wa kijinsia na Haki za Binadamu, Ndg. Gemma Akilimali (aliesimama) akitoa mada kwa Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti katika semina iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
 Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti wakifuatilia mada iliyowasilishwa na Mtaalamu wa masuala ya Jinsia, Bajeti kwa Mtazamo wa kijinsia na Haki za Binadamu, Ndg. Gemma Akilimali (aliesimama) wakati wa semina iliyohusu Bajeti kwa Mtazamo wa Kijinsia leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. George Simbachawene (kushoto) akizungumza jambo wakati kamati hiyo ikipatiwa semina iliyohusu Bajeti kwa Mtazamo wa Kijinsia, leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Mjumbe wa kamati hiyo Mhe. Husna Mwilima. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI YAPATIWA MAFUNZO BUNGENI JIJINI DODOMA

yaani makala yote KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI YAPATIWA MAFUNZO BUNGENI JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI YAPATIWA MAFUNZO BUNGENI JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/kamati-ya-kudumu-ya-bunge-ya-bajeti.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI YAPATIWA MAFUNZO BUNGENI JIJINI DODOMA"

Post a Comment