ZIARA YA DC MJEMA YAFANIKISHA KUMALIZIA MGOGORO MKUBWA WA ARDHI ULIODUMU MIAKA 18.

ZIARA YA DC MJEMA YAFANIKISHA KUMALIZIA MGOGORO MKUBWA WA ARDHI ULIODUMU MIAKA 18. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZIARA YA DC MJEMA YAFANIKISHA KUMALIZIA MGOGORO MKUBWA WA ARDHI ULIODUMU MIAKA 18., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZIARA YA DC MJEMA YAFANIKISHA KUMALIZIA MGOGORO MKUBWA WA ARDHI ULIODUMU MIAKA 18.
kiungo : ZIARA YA DC MJEMA YAFANIKISHA KUMALIZIA MGOGORO MKUBWA WA ARDHI ULIODUMU MIAKA 18.

soma pia


ZIARA YA DC MJEMA YAFANIKISHA KUMALIZIA MGOGORO MKUBWA WA ARDHI ULIODUMU MIAKA 18.



Na John Luhende
Mwambawahabari
Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amemaliza mgogoro wa Ardhi baina ya wananchi wa Pugustesheni na mwekezaji wa kiwanda cha mbolea cha minjingu.

Akizungumza na wananchi wa Pugu Stesheni Lukuvi amesema serikali imeamuakuwatambua rasmi wakazi hao ambaowalivamia eneo hilo na kusema kuwa hakunamwananchi atakayevunjiwa nyumba yake na wizara ya Ardhi it a tuma wapima watakao shirikiana na wapima wa Wilaya ya Ilala ilikurasimisha eneo hilo.

"Serikali ya awamu ya tano nisikivu na inajawali wananchi wanyonge, Rais Magufuli amenituma nijeniwaambie hakunamwananchiatakayevunjiwnyumbayake  tumezungumza na mwekezaji tumekubaliana yeyetutamwachia eneo la kiwanda naninyitutawaachiasehemu mlizojenga" alisema Lukuvi

Majuma mawili yaliyopita mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema alifanyaziara katikaeneohilo na kuwasaidia wananchi wa eneo hilo kuwa mgogoro huo ataumaliza kwa kushiriki ana na Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi ili wananchi waweze kuishikwa amani.

Akiwa katika ziara hiyo DC Mjema aliwaaelezaza wananchi hao kuwa amesikia kilio cha na mgogoro wao na mwekezaji uliodumu kwa muda wa miaka 18.

"Nimekuwa na ziara ya kutembelea kila kata katika Wilaya yetu na nimewasikliza kwa makini kuhusu mgogoro wenu na mwekezaji na pendant niwaahidi baada ya wiki mbili nitamleta Waziri wa Ardhi ili tumakizetatizo lenu " alisema Mjema akiwa ziarani.

Kwa upande wake mwekezaji wa kiwanda hicho Tosky Hans amesema amekubaliana na uamuzi wa Serikali na atashirikiana na wananchi wa Pugu ili kuhakikisha kila mmoja anapataamani kwa kuishikwa salama.

Nao wananchi wa eneo hilo wamaishukuru Serikali kwa kwa kuwaathamini na kuamua kuwarasimisha na waume kubaini kuchangiwa gharama ndo go ambazo Waziri amewaambia na watakao ushirikiano kwa wapima watakao fika kufanya zoezi la kupima eneo lao.





Hivyo makala ZIARA YA DC MJEMA YAFANIKISHA KUMALIZIA MGOGORO MKUBWA WA ARDHI ULIODUMU MIAKA 18.

yaani makala yote ZIARA YA DC MJEMA YAFANIKISHA KUMALIZIA MGOGORO MKUBWA WA ARDHI ULIODUMU MIAKA 18. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZIARA YA DC MJEMA YAFANIKISHA KUMALIZIA MGOGORO MKUBWA WA ARDHI ULIODUMU MIAKA 18. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/ziara-ya-dc-mjema-yafanikisha-kumalizia.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "ZIARA YA DC MJEMA YAFANIKISHA KUMALIZIA MGOGORO MKUBWA WA ARDHI ULIODUMU MIAKA 18."

Post a Comment