Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Ashuhudia Mchezo Kati ya Namungo FC na Dodoma FC Mchezo Uliofanyiika Uwanja wa Jamuhuri Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Ashuhudia Mchezo Kati ya Namungo FC na Dodoma FC Mchezo Uliofanyiika Uwanja wa Jamuhuri Dodoma. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Ashuhudia Mchezo Kati ya Namungo FC na Dodoma FC Mchezo Uliofanyiika Uwanja wa Jamuhuri Dodoma., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Ashuhudia Mchezo Kati ya Namungo FC na Dodoma FC Mchezo Uliofanyiika Uwanja wa Jamuhuri Dodoma.
kiungo : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Ashuhudia Mchezo Kati ya Namungo FC na Dodoma FC Mchezo Uliofanyiika Uwanja wa Jamuhuri Dodoma.

soma pia


Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Ashuhudia Mchezo Kati ya Namungo FC na Dodoma FC Mchezo Uliofanyiika Uwanja wa Jamuhuri Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji na viongozi wa timu ya mpira wa miguu  ya Namungo FC ya  Ruangwa na Dodoma FC baada ya mchezo wa kirafiki kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Dodoma Mjini ambaye pia na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde wakati alipowasili kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kushuhudi mechi ya kirafiki kati ya Namungo FC ya Ruangwa na Dodoma FC, Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu
 Rashidi Mpemba  (kushoto) wa Dodoma FC  na  Bruno John wa Namungo FC   wakiwania mpira katika mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu
 Rashidi Mpemba (kushoto) wa Dodoma FC akimiliki mpira huku akizongwa na  Bruno John wa Namungo FC  katika mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu
 Zahoro Pazi wa timu ya Dodoma FC  (kulia) akimtoka Luka Kikoti wa Namungo FC katika mchezo wa  kirafiki uliochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu
 Zahoro Pazi  wa timu ya Dodoma FC  (kulia) na Luka Kikoti wa Namungo FC wakiwania mpira katika mchezo wa  kirafiki uliochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji na viongozi wa timu ya Dodoma FC baada ya mechi ya kirafika kati ya timu hiyo na Namungo FC ya Ruangwa kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji na viongozi wa timu ya Namungo FC ya Ruangwa baada ya mechi ya kirafiki kati ya timu hiyo na Dodoma FC iliyochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma,


Hivyo makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Ashuhudia Mchezo Kati ya Namungo FC na Dodoma FC Mchezo Uliofanyiika Uwanja wa Jamuhuri Dodoma.

yaani makala yote Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Ashuhudia Mchezo Kati ya Namungo FC na Dodoma FC Mchezo Uliofanyiika Uwanja wa Jamuhuri Dodoma. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Ashuhudia Mchezo Kati ya Namungo FC na Dodoma FC Mchezo Uliofanyiika Uwanja wa Jamuhuri Dodoma. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/waziri-mkuu-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_17.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Ashuhudia Mchezo Kati ya Namungo FC na Dodoma FC Mchezo Uliofanyiika Uwanja wa Jamuhuri Dodoma."

Post a Comment