title : Mrembo Sanchoka 'Siwezi Kuduu na Dkt Shika'
kiungo : Mrembo Sanchoka 'Siwezi Kuduu na Dkt Shika'
Mrembo Sanchoka 'Siwezi Kuduu na Dkt Shika'
MWANAMITINDO maarufu Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa maneno yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa ana mpango wa kumsaka Dk. Louis Shika ‘aduu’ naye ni uzushi tu, kwani mzee huyo anamuona kama baba yake mzazi.
Akizungumza na gazeti hili, Sanchi alisema hata apewe mabilioni ya fedha kamwe hawezi kubanjuka na Dk. Shika mwenye umri unaoendana na wa mzazi wake.
“Hakuna kitu kinachoniuma kama watu wanavyosambaza kuwa mimi namtamani sana Dk. Shika, yule ni kama baba yangu kabisa, naanzaje kumvulia nguo? Si nitapata laana bure,” alisema Sanchi.

Hivyo makala Mrembo Sanchoka 'Siwezi Kuduu na Dkt Shika'
yaani makala yote Mrembo Sanchoka 'Siwezi Kuduu na Dkt Shika' Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mrembo Sanchoka 'Siwezi Kuduu na Dkt Shika' mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mrembo-sanchoka-siwezi-kuduu-na-dkt.html
0 Response to "Mrembo Sanchoka 'Siwezi Kuduu na Dkt Shika'"
Post a Comment