WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO CHINA

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO CHINA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO CHINA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO CHINA
kiungo : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO CHINA

soma pia


WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO CHINA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania waishio nchini China Kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing, Septemba 2, 2018. Pichani kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini China,Mh Mbelwa Kairuki.
Baadhi ya Watanzania wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao Kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing nchini China, Septemba 2, 2018. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Kiluwa Industrial Group of Companies Naima Mohamed Kiluwa,alipozungumza na Watanzania waishio China wakiwemo na wageni waalikwa kutoka Tanzania kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing nchini China Septemba 2, 2018. Pichani kati ni Mwenyekiti wa Kampuni ya Kiluwa Industrial Group of Companies Mohamed Kiluwa na kulia ni Mfanyabiashara maarufu kutoka Tanzania,Mh John Cheyo wakiwa sehemu ya wageni waalikwa kutoka nchini Tanzania.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga wakati alipowasili kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing nchini China, Septemba 2, 2018. Kushoto ni Waziri wa Madini, Angela Kairuki. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mke wa Balozi wa Tanzania nchini China na Waziri wa Madini, Angela Kairuki wakati alipowasili kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing China kuzungumza na Watanzania, Septemba 2, 2018. Katikati ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania waishio nchini China baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing nchini China Septemba 2, 2018. Kulia kwake ni Waziri wa mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga na kushoto kwake ni Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki. 



Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO CHINA

yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO CHINA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO CHINA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-azungumza.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO CHINA"

Post a Comment