KESI INAYOWAKABILI MAXENCE MELO NA MIKE MUSHI WA JAMII FORUMS YAPIGWA KALENDA

KESI INAYOWAKABILI MAXENCE MELO NA MIKE MUSHI WA JAMII FORUMS YAPIGWA KALENDA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KESI INAYOWAKABILI MAXENCE MELO NA MIKE MUSHI WA JAMII FORUMS YAPIGWA KALENDA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KESI INAYOWAKABILI MAXENCE MELO NA MIKE MUSHI WA JAMII FORUMS YAPIGWA KALENDA
kiungo : KESI INAYOWAKABILI MAXENCE MELO NA MIKE MUSHI WA JAMII FORUMS YAPIGWA KALENDA

soma pia


KESI INAYOWAKABILI MAXENCE MELO NA MIKE MUSHI WA JAMII FORUMS YAPIGWA KALENDA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo imeshindwa kuendelea kusikiliza ushahidi dhidi ya kesi ya kuzuia Jeshi la Polisi kufanya kazi yake, inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jamii Forum, Maxence Melo na mwanahisa wa mtandao huo, Mike Mushi kwa sababu shahidi alikuwa hajaandaliwa.

Aidha upande wa Mashtaka uliokuwa ukiongozwa na wakili wa serikali, Nassoro Katuga ulidai kuwa jalada la kesi hiyo lipo Polisi, na kwamba  mawakili wa serikal wanaosikiliza kesi hiyo wanamajukumu mengine ya kikazi katika mahakama tofauti.

Wakili Katuga amedai hayo yote mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey Mwambapa wakati shauri hilo lilipokuja kwa ajili ya kuendelea na ushahidi.

Hakimu Mwambapa ameahirisha kesi hiyo hadi October 17, 2017 kwa ajili ya kuendelea na ushahidi.

Katika kesi hiyo, Melo na mwenzake wanakabiliwa na kosa moja la kuzuia jeshi la polisi kufanya kazi yake.

Inadaiwa washtakiwa walitenda kosa hilo kati ya Aprili 1 na Desemba 13, mwaka jana katika maeneo ya Mikocheni jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala KESI INAYOWAKABILI MAXENCE MELO NA MIKE MUSHI WA JAMII FORUMS YAPIGWA KALENDA

yaani makala yote KESI INAYOWAKABILI MAXENCE MELO NA MIKE MUSHI WA JAMII FORUMS YAPIGWA KALENDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KESI INAYOWAKABILI MAXENCE MELO NA MIKE MUSHI WA JAMII FORUMS YAPIGWA KALENDA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/kesi-inayowakabili-maxence-melo-na-mike.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KESI INAYOWAKABILI MAXENCE MELO NA MIKE MUSHI WA JAMII FORUMS YAPIGWA KALENDA"

Post a Comment