WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YAKE, AWATAKA WACHAPE KAZI

WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YAKE, AWATAKA WACHAPE KAZI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YAKE, AWATAKA WACHAPE KAZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YAKE, AWATAKA WACHAPE KAZI
kiungo : WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YAKE, AWATAKA WACHAPE KAZI

soma pia


WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YAKE, AWATAKA WACHAPE KAZI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na watumishi wa Wizara yake (hawapo pichani), kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji kazi. Lugola aliwataka watumishi hao kufanya kazi kwa bidii pamoja na changamoto zote zinazowakabili na atashirikiana na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu (kushoto), wanatatua changamoto za watumishi hao. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Ramadhan Kailima. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa mikutano wa chuo cha Veta, jijini Dodoma, leo.
Wakurugenzi, Wakuu wa Vitengo (mstari wa mbele) wakiwa na watumishi wengine wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo, Kangi Lugola (hayupo pichani), wakati alipokua akizungumza na watumishi hao kwa mara ya kwanza tangu alipoteuliwa kuiongoza wizara hiyo. Katika hotuba yake, Lugola aliwataka watumishi hao kufanya kazi kwa bidii, pia aliwahidi watumishi hao atashirikiana na Katibu Mkuu kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili katika utendaji wao. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa mikutano wa chuo cha veta, jijini Dodoma, leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (katikati), akiandika mafanikio na changamoto zilizokuwa zinatolewa na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Issa Ng’imba (kulia), katika mkutano wa watumishi wa Wizara hiyo, uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Chuo cha Veta, jijini Dodoma. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu, wapili kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Ramadhan Kailima na kushoto ni Katibu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serkali na Afya (Tughe), tawi la Wizara, Obeid Mbaga.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto), akimsalimia Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu alipokua anawasili katika ukumbi wa mikutano wa Chuo cha Veta, jijini Dodoma kwa ajili ya kuzungumza na watumishi wa wizara hiyo, leo. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Ramadhan Kailima. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


Hivyo makala WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YAKE, AWATAKA WACHAPE KAZI

yaani makala yote WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YAKE, AWATAKA WACHAPE KAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YAKE, AWATAKA WACHAPE KAZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/waziri-lugola-akutana-na-watumishi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YAKE, AWATAKA WACHAPE KAZI"

Post a Comment