RC AGGREY MWANRI ASISITIZA VIJANA KUMCHA MUNGU ILI KUEPUKA MAOVU

RC AGGREY MWANRI ASISITIZA VIJANA KUMCHA MUNGU ILI KUEPUKA MAOVU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC AGGREY MWANRI ASISITIZA VIJANA KUMCHA MUNGU ILI KUEPUKA MAOVU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC AGGREY MWANRI ASISITIZA VIJANA KUMCHA MUNGU ILI KUEPUKA MAOVU
kiungo : RC AGGREY MWANRI ASISITIZA VIJANA KUMCHA MUNGU ILI KUEPUKA MAOVU

soma pia


RC AGGREY MWANRI ASISITIZA VIJANA KUMCHA MUNGU ILI KUEPUKA MAOVU



Mwambawahabari

Na Tiganya Vincent,Sikonge .
Vijana wametakiwa kumucha Mungu kwa kuwasikiliza na kutii maelekezo yanayotewa na viongozi mbalimbali ikiwemo vingozi wa dini ili kujenga jamii yenye maadili mema na yenye hofu ya kufanya mambo ambayo ni kinyume maagizo ya Muumba wa Mbingu na Nchi.
 
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Bw. Aggrey Mwanri wakati wa mkutano wa hadhara na Wachimbaji wadogo wadogo na kwenye maeneo mbalimbali wilayani Sikonge.
 
Alisema sio vema wakachukua maneno ya vijiweni  na kufanya kama ndio msingi au mwongozo wa maisha yao ya kila siku, jambo ambalo linaweza kuwasababisha wao kuijiingiza katika maovu ikiwemo kudhani utajiri unapatikana na njia ya umwagaji damu ya watu wengine.
 
Bw. Mwanri alisema kuwa utajiri unapatikana kwa mtu kufanyakazi kwa bidii na kwa kumtanguliza Mwenyeji Mungu katika kila kazi halali anayoifanya.
 
Aliongeza kuwa Serikali haina dini lakini inatambua kuwa wananchi wake wanadini zao na ndio maana kila kwenye mkusanyiko au makazi  ya watu inasisitiza yatengwe maeneo ambayo zitajengwa nyumba za Ibada ili Watanzania waweze kupata huduma hiyo muhimu.
 
Bw. Mwanri aliwaonya vijana na baadhi ya watu wengine wasiendekeza maneno ya vijiweni ambayo yanaweza kuwajengea fikira potofu za kudhani mafanikio katika maisha yapatikana kirahisi na hivyo wengine kushinda wakicheza drafuti, bao , Pool badala ya kufanyakazi.
 
Alisisitiza kuwa vijana wanaoamini maneno potofu ya vijiweni ndio uweza hata kudharau wakubwa na kuwaona kuwa wao wako juu yao na wakati mwingine kufikiria kwenda Ulaya wakati hata nauli ya kufika kule hawana.
 
Bw. Mwanri aliongeza kuwa njia pekee na bora ya kuwasaidia ni kuwatii viongozi wote wa dini na jamii ndio utakuwa mwongozo mzuri wa kuwapeleka tika mafanikio ya kweli.
 
Mkuu huyo Mkoa yuko alikuwa katika ziara ya uhamasishaji na uelimishaji makazi wa Sikonge juu ya zoezi la upandaji miti na pia kujionea shughuli za uchimbaji wa madini katika eneo la Kitunda.


Hivyo makala RC AGGREY MWANRI ASISITIZA VIJANA KUMCHA MUNGU ILI KUEPUKA MAOVU

yaani makala yote RC AGGREY MWANRI ASISITIZA VIJANA KUMCHA MUNGU ILI KUEPUKA MAOVU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC AGGREY MWANRI ASISITIZA VIJANA KUMCHA MUNGU ILI KUEPUKA MAOVU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/rc-aggrey-mwanri-asisitiza-vijana.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC AGGREY MWANRI ASISITIZA VIJANA KUMCHA MUNGU ILI KUEPUKA MAOVU"

Post a Comment