WATU WAWILI GEITA MIKONONI MWA POLISI KUKUTWA NA KICHWA CHA BINADAMU.

WATU WAWILI GEITA MIKONONI MWA POLISI KUKUTWA NA KICHWA CHA BINADAMU. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATU WAWILI GEITA MIKONONI MWA POLISI KUKUTWA NA KICHWA CHA BINADAMU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATU WAWILI GEITA MIKONONI MWA POLISI KUKUTWA NA KICHWA CHA BINADAMU.
kiungo : WATU WAWILI GEITA MIKONONI MWA POLISI KUKUTWA NA KICHWA CHA BINADAMU.

soma pia


WATU WAWILI GEITA MIKONONI MWA POLISI KUKUTWA NA KICHWA CHA BINADAMU.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia watu wawili akiwamo mwenye umri wa miaka 65 kwa tuhuma za kukutwa na kichwa cha binadamu nyumbani kwake.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Daniel Shilla akizungumza mjini Chato, alisema waliokamatwa ni mkazi wa kijiji cha Ibondo B na mkazi wa Mwabasabhi wilayani Chato.

Alisema tukio hilo lilitokea Septemba 8, 2018 ambapo watuhumiwa hao walikua wamekificha kichwa hicho uvunguni mwa kitanda nyumbani kwa mmoja wao na jeshili na Polisi linaendelea na uchunguzi.


Hivyo makala WATU WAWILI GEITA MIKONONI MWA POLISI KUKUTWA NA KICHWA CHA BINADAMU.

yaani makala yote WATU WAWILI GEITA MIKONONI MWA POLISI KUKUTWA NA KICHWA CHA BINADAMU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATU WAWILI GEITA MIKONONI MWA POLISI KUKUTWA NA KICHWA CHA BINADAMU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/watu-wawili-geita-mikononi-mwa-polisi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATU WAWILI GEITA MIKONONI MWA POLISI KUKUTWA NA KICHWA CHA BINADAMU."

Post a Comment