title : SPIKA NDUGAI APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA SPIKA WA IRAN LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA
kiungo : SPIKA NDUGAI APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA SPIKA WA IRAN LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA
SPIKA NDUGAI APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA SPIKA WA IRAN LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akipokea ujumbe Maalum kutoka kwa Spika wa Bunge la Iran, uliowasilishwa leo na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (kulia), katika tukio lililofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akizungumza na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (katikati), katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. kulia ni Msaidizi wa Balozi wa Iran Ndg. Zuhura Ally. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala SPIKA NDUGAI APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA SPIKA WA IRAN LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA
yaani makala yote SPIKA NDUGAI APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA SPIKA WA IRAN LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA SPIKA WA IRAN LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/spika-ndugai-apokea-ujumbe-maalum.html
0 Response to "SPIKA NDUGAI APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA SPIKA WA IRAN LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA"
Post a Comment