WANAFUNZI WATATU WA IFM WAPATA UFADHILI WA ADA YA MWAKA WA TATU

WANAFUNZI WATATU WA IFM WAPATA UFADHILI WA ADA YA MWAKA WA TATU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANAFUNZI WATATU WA IFM WAPATA UFADHILI WA ADA YA MWAKA WA TATU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANAFUNZI WATATU WA IFM WAPATA UFADHILI WA ADA YA MWAKA WA TATU
kiungo : WANAFUNZI WATATU WA IFM WAPATA UFADHILI WA ADA YA MWAKA WA TATU

soma pia


WANAFUNZI WATATU WA IFM WAPATA UFADHILI WA ADA YA MWAKA WA TATU

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
Wanafunzi watatu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) wamepata ufadhili kusoma mwaka wa tatu kwa kulipiwa ada kupitia kampuni ya Bima ya Metropolitan.

Akizungumza wakati wa kupokea hundi ya sh.milioni 4.5 Makamu Mkuu wa Chuo hicho Dkt. Immanuel Muzava amesema kuwa kampuni ya Bima ya Metropolitan kupitia Chama cha Mawakala wa Bima (TIBA) kimefanya jambo la kuigwa katika umuhimu wa kusaidia wanafunzi ambao wana uhitaji wa kuweza kuhitimu masomo yao.

Muzava amesema kuwa sekta ya Bima inakua kwa kasi nchini hivyo lazima kuwepo na watalaam wa kutosha.

Wanafunzi waliopata ufadhili huo Paschalina Msofe,Rhoda Maholy pamoja na Leonard Mahimbo.

Amesema wanafunzi hao walikuwa na changamoto ya kiuchumi ambayo ingewafanya wakwame kuhitimu mwaka wa tatu.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Metropolitan Suresh Kumar amesema kuwa wanajibu wa kufanya hivyo bila kulazimishwa.

Amesema kuwa watu wakipewa elimu kunaongeza tija kwa serikali katika kuwa na watalaam wataosaidia maendeleo ya uchumi.

Aidha amesema waliofadhiliwa sio wakihitimu wakafanye kazi katika kampuni hiyo bali watafanya sehemu yeyote ikiwa nia kutoa huduma ya bima katika maendeleo ya nchi.

Mmoja wa wanafunzi waliofadhiliwa Paschalina Msofe amesema kuwa kazi yao ni kusoma bidii na kutoa matokeo mazuri kwa kile walichosome katika utoaji wa huduma ya bima nchini.
 Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Metropolitan Suresh Kumar akizungumza wakati wa kupokea hundi ya wanafunzi waliofadhiliwa katika chuo hicho.
 Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Metropolitan Suresh Kumar akizungumza kuhusiana na kampuni hiyo kufadhili ada kwa wanafunzi.
 Makamu Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Immanuel Muzava  akipokea mfano wa hundi kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Metropolitan Suresh Kumar kwa ajili ya ada kwa wanafunzi kwa ada ya mwaka wa tatu.
 Mwanafunzi wa IFM Rhoda Maholy akitoa shukurani kwa niaba wanafunzi wenzake kuhusiana msaada kusoma mwaka wa tatu kwa ufadhili.
Wanafunzi wa IFM wakiwa na hundi ya mfano wa ada ya iliyotolewa na Kampuni ya Bima ya Metropolitan.


Hivyo makala WANAFUNZI WATATU WA IFM WAPATA UFADHILI WA ADA YA MWAKA WA TATU

yaani makala yote WANAFUNZI WATATU WA IFM WAPATA UFADHILI WA ADA YA MWAKA WA TATU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANAFUNZI WATATU WA IFM WAPATA UFADHILI WA ADA YA MWAKA WA TATU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/wanafunzi-watatu-wa-ifm-wapata-ufadhili.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WANAFUNZI WATATU WA IFM WAPATA UFADHILI WA ADA YA MWAKA WA TATU"

Post a Comment