title : NEYMAR APEWA KIONGOZA BARAZIL
kiungo : NEYMAR APEWA KIONGOZA BARAZIL
NEYMAR APEWA KIONGOZA BARAZIL
Kocha wa Timu ya Taifa ya Brazil, Tite amemteua mshambuliaji wa klabu ya PSG, Neymar Jr kuwa nahodha wa kudumu wa Brazil.Tite alikuwa na sera ya kubadilisha manahodha kila mechi kwa sasa ameachana na sera hiyo.
Neymar ataanza kazi kama Nahodha wa kudumu kuelekea mchezo wa kesho wa kirafiki dhidi ya Marekani.
Hivyo makala NEYMAR APEWA KIONGOZA BARAZIL
yaani makala yote NEYMAR APEWA KIONGOZA BARAZIL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEYMAR APEWA KIONGOZA BARAZIL mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/neymar-apewa-kiongoza-barazil.html
0 Response to "NEYMAR APEWA KIONGOZA BARAZIL"
Post a Comment