title : MTAANI : MAANDALIZI YA BIASHARA
kiungo : MTAANI : MAANDALIZI YA BIASHARA
MTAANI : MAANDALIZI YA BIASHARA
Mfanyabiashara wa Matunda akiendelea na biashara yake huku pembeni kukiwa na mtaro wa maji machafu katika eneo la Mwenge jijini Dar as Salaam,jambo ambalo ni hatari kwa afya ya walaji.Wananchi wanaaswa kutunza mazingira yao na kuwa safi kuepukana na magonjwa mbalimbali yanayoweza kusababishwa na uchafu.(Picha na Emmanuele Massaka wa Globu ya jamii)
Wafanyabiara wa samaki katika kituo cha mabasi Mwenge jijini Dar as Salaam wakiweka samaki katika meza hukupembeni kukiwa na mtaro wa maji taka.
Hivyo makala MTAANI : MAANDALIZI YA BIASHARA
yaani makala yote MTAANI : MAANDALIZI YA BIASHARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MTAANI : MAANDALIZI YA BIASHARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/mtaani-maandalizi-ya-biashara.html
0 Response to "MTAANI : MAANDALIZI YA BIASHARA"
Post a Comment