Viongozi wa Mabaraza ya Vijana Wilaya ya Kati na Mji Wajengewa Uwezo wa Ubunifu wa Bidhaa Kwa Ujasiriamali Zanzibar.

Viongozi wa Mabaraza ya Vijana Wilaya ya Kati na Mji Wajengewa Uwezo wa Ubunifu wa Bidhaa Kwa Ujasiriamali Zanzibar. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Viongozi wa Mabaraza ya Vijana Wilaya ya Kati na Mji Wajengewa Uwezo wa Ubunifu wa Bidhaa Kwa Ujasiriamali Zanzibar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Viongozi wa Mabaraza ya Vijana Wilaya ya Kati na Mji Wajengewa Uwezo wa Ubunifu wa Bidhaa Kwa Ujasiriamali Zanzibar.
kiungo : Viongozi wa Mabaraza ya Vijana Wilaya ya Kati na Mji Wajengewa Uwezo wa Ubunifu wa Bidhaa Kwa Ujasiriamali Zanzibar.

soma pia


Viongozi wa Mabaraza ya Vijana Wilaya ya Kati na Mji Wajengewa Uwezo wa Ubunifu wa Bidhaa Kwa Ujasiriamali Zanzibar.

Muwezeshaji kutoka Jumuiya wa Wanasheria Wawanawake Zanzibar (ZAFELA) Jamila Mahmoud akiwasilisha Mada kuhusiana na Ubunifu wa Bidhaa kwa Vijana wa Mabaraza la Vijana ya Wilaya ya Kati na Mjini Unguja kuweza kujengewa uwezo wa kufanya biashara kujikwamua na Ajira na kujipatia kipato kutokana na kazi zao za Ujasiriamali wa Bidhaa mbalimbali. 
Mafunzo hayo yameandaliwa na ZAFELA kuweza kuwajengea uwezo kujikwamua na ajira. 

Muwesilishaji wa Mada katika mafunzo ya kuwajengea Uwezo Vijana wa Baraza ya Vijana wa Wilaya ya Kati na Mjini Unguja yaliofanyika katika ukumbi wa Umoja wa Walemavu Zanzibar na kuwashirikisha Vijana kutoka Mabaraza la Vijana Unguja.  
Vijana wa Mabaraza la Vijana kutoka Wilaya ya Kati na Mjini wakifuatilia mafunzo hayo ya kuwajengea Uwezo wa kubuni bidhaa kwa ajili ya Ujasiriamali wa vidhaa mbalimbali kuweza kujikwamua na kujiongezea kipato.

 



Hivyo makala Viongozi wa Mabaraza ya Vijana Wilaya ya Kati na Mji Wajengewa Uwezo wa Ubunifu wa Bidhaa Kwa Ujasiriamali Zanzibar.

yaani makala yote Viongozi wa Mabaraza ya Vijana Wilaya ya Kati na Mji Wajengewa Uwezo wa Ubunifu wa Bidhaa Kwa Ujasiriamali Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Viongozi wa Mabaraza ya Vijana Wilaya ya Kati na Mji Wajengewa Uwezo wa Ubunifu wa Bidhaa Kwa Ujasiriamali Zanzibar. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/viongozi-wa-mabaraza-ya-vijana-wilaya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Viongozi wa Mabaraza ya Vijana Wilaya ya Kati na Mji Wajengewa Uwezo wa Ubunifu wa Bidhaa Kwa Ujasiriamali Zanzibar."

Post a Comment