Waziri Mwakyembe akutana na Viongozi wa Chama cha Mashua Tanzania (TSAA)

Waziri Mwakyembe akutana na Viongozi wa Chama cha Mashua Tanzania (TSAA) - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Mwakyembe akutana na Viongozi wa Chama cha Mashua Tanzania (TSAA), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Mwakyembe akutana na Viongozi wa Chama cha Mashua Tanzania (TSAA)
kiungo : Waziri Mwakyembe akutana na Viongozi wa Chama cha Mashua Tanzania (TSAA)

soma pia


Waziri Mwakyembe akutana na Viongozi wa Chama cha Mashua Tanzania (TSAA)

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akifafanua jambo kwa baadhi ya viongozi wa Chama cha Mashua Tanzania (TSAA) wakati alipokutana na viongozi hao kujadili changamoto mbalimbali wanazokutana nazo.
 Mwanyekiti wa Chama cha Mashua Tanzania (TSAA) Bw. Philemon Nasari (kushoto) akimueleza  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe changamoto mbalimbali wanazokutana nazo.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mashua Tanzania (TSAA) Bw. Philemon Nasari (kulia) akimkabidhi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe DVD yenye matukio mbalimbali ya chama hicho wakati alipokutana na viongozi hao kujadili changamoto mbalimbali wanazokutana nazo.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (mwwenye miwani) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Mashua Tanzania (TSAA) na maafisa wa Idara ya Michezo wakati alipokutana na viongozi hao kujadili changamoto mbalimbali wanazokutana nazo. Picha na Eliphace Marwa – Maelezo



Hivyo makala Waziri Mwakyembe akutana na Viongozi wa Chama cha Mashua Tanzania (TSAA)

yaani makala yote Waziri Mwakyembe akutana na Viongozi wa Chama cha Mashua Tanzania (TSAA) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mwakyembe akutana na Viongozi wa Chama cha Mashua Tanzania (TSAA) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/waziri-mwakyembe-akutana-na-viongozi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri Mwakyembe akutana na Viongozi wa Chama cha Mashua Tanzania (TSAA)"

Post a Comment