title : VIINGILIO MECHI YA SIMBA NA YANGA VYAWEKWA HADHARANI
kiungo : VIINGILIO MECHI YA SIMBA NA YANGA VYAWEKWA HADHARANI
VIINGILIO MECHI YA SIMBA NA YANGA VYAWEKWA HADHARANI
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kati ya Simba na Young Africans utakaochezwa Septemba 30,2018.
Viingilio vya mchezo huo utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa VIP A shilingi 30,000
VIP B na C shilingi 20,000,Viti vya rangi ya Machungwa,Bluu na Kijani shilingi 7,000
Tiketi zitaanza kuuzwa kuanzia Septemba 20,2018 kupitia Selcom.
Wahi kununua tiketi yako mapema kwa kupitia kadi ya Selcom ambayo inakupa urahisi wa kununua tiketi yako.
Kadi za Selcom zinapatikana kwa mawakala waliopo sehemu mbalimbali nchini.
Hivyo makala VIINGILIO MECHI YA SIMBA NA YANGA VYAWEKWA HADHARANI
yaani makala yote VIINGILIO MECHI YA SIMBA NA YANGA VYAWEKWA HADHARANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VIINGILIO MECHI YA SIMBA NA YANGA VYAWEKWA HADHARANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/viingilio-mechi-ya-simba-na-yanga.html
0 Response to "VIINGILIO MECHI YA SIMBA NA YANGA VYAWEKWA HADHARANI"
Post a Comment