TRC YAAHIDI KUSAIDIA MAENDELEO YA ELIMU WILAYA YA KISARAWE MKOANI PWANI

TRC YAAHIDI KUSAIDIA MAENDELEO YA ELIMU WILAYA YA KISARAWE MKOANI PWANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TRC YAAHIDI KUSAIDIA MAENDELEO YA ELIMU WILAYA YA KISARAWE MKOANI PWANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TRC YAAHIDI KUSAIDIA MAENDELEO YA ELIMU WILAYA YA KISARAWE MKOANI PWANI
kiungo : TRC YAAHIDI KUSAIDIA MAENDELEO YA ELIMU WILAYA YA KISARAWE MKOANI PWANI

soma pia


TRC YAAHIDI KUSAIDIA MAENDELEO YA ELIMU WILAYA YA KISARAWE MKOANI PWANI

 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mhe. Jockate Mwegelo (wa nne kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania Ndugu Masanja Kadogosa (wa tatu kulia), wafanyakazi wa Wilaya ya Kisarawe, TRC pamoja na wawakilishi kutoka Mkandarasi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR Yapi Merkezi wakijadili namna ambavyo wanaweza kusaidia maendeleo ya Elimu wilayani Kisarawe katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Septemba 22. 2018. 
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania Ndugu Masanja Kadogosa (kulia) kwa niaba ya TRC akimuahidi mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mhe. Jokate Mwegelo (kushoto) kujenga Madarasa na kuchangia Vyakula ikiwemo Maharage, Mchele na Mafuta ya kupikia kwa wanafunzi walio kambini wakati wa Harambee ya kuchangia maendeleo ya Elimu katika Kampeni ya 'Tokomeza Ziro' iliyoandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Septemba 22, 2018.
 Picha ya pamoja baada ya mazungumzo


Hivyo makala TRC YAAHIDI KUSAIDIA MAENDELEO YA ELIMU WILAYA YA KISARAWE MKOANI PWANI

yaani makala yote TRC YAAHIDI KUSAIDIA MAENDELEO YA ELIMU WILAYA YA KISARAWE MKOANI PWANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TRC YAAHIDI KUSAIDIA MAENDELEO YA ELIMU WILAYA YA KISARAWE MKOANI PWANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/trc-yaahidi-kusaidia-maendeleo-ya-elimu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TRC YAAHIDI KUSAIDIA MAENDELEO YA ELIMU WILAYA YA KISARAWE MKOANI PWANI"

Post a Comment