title : MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA MELI YA MFALME WA OMAN
kiungo : MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA MELI YA MFALME WA OMAN
MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA MELI YA MFALME WA OMAN
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiangalia vitabu akiongozana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Serikali ya Oman Dkt. Mohammed Bin Hamad Al Rumhy kwenye maonyesho yaliopo ndani ya meli ya Mfalme wa Oman inayojulikana kwa jina la Fulk Al Salamah iliyotia nanga kwenye Bandari ya Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiangalia akionyeshwa ubani na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Serikali ya Oman Dkt. Mohammed Bin Hamad Al Rumhy alipotembelea maonyesho yaliopo ndani ya meli ya Mfalme wa Oman inayojulikana kwa jina la Fulk Al Salamah iliyotia nanga kwenye Bandari ya Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiangalia machapisho mbalimbali kulia ni Waziri wa Mafuta na Gesi wa Serikali ya Oman Dkt. Mohammed Bin Hamad Al Rumhy ambaye ameonoza ujumbe maalum uliokuja na meli ya Mfalme wa Oman inayojulikana kwa jina la Fulk Al Salamah iliyotia nanga kwenye Bandari ya Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Serikali ya Oman Dkt. Mohammed Bin Hamad Al Rumhy pamoja na ujumbe wake mara baada ya kutembelea meli ya Mfalme wa Oman inayojulikana kwa jina la Fulk Al Salamah iliyotia nanga kwenye Bandari ya Dar es Salaam.
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA MELI YA MFALME WA OMAN
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA MELI YA MFALME WA OMAN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA MELI YA MFALME WA OMAN mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/makamu-wa-rais-atembelea-meli-ya-mfalme.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA MELI YA MFALME WA OMAN"
Post a Comment