title : TANZANIA YAPATA MWAKILISHI WA HESHIMA HONG KONG NA MACAO
kiungo : TANZANIA YAPATA MWAKILISHI WA HESHIMA HONG KONG NA MACAO
TANZANIA YAPATA MWAKILISHI WA HESHIMA HONG KONG NA MACAO
Balozi Mbelwa na Bibi Wu wakibadilishana mkataba mara baada ya kuusaini |
Mhe. Waziri Mahiga akitoa hotuba kumpongeza Bibi Wu kwa kukubali kuiwakilisha Tanzania kwenye maeneo hayo na kumtaka kuiwakilisha vema nchi |
Katibu Mkuu, Prof. Mkenda akiteta jambo na Mhe. Balozi Mbelwa |
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia, Bibi Justa Nyange akiwa na Maafisa ambao walikuwepo kushuhudia uwekwaji saini wa mkataba wa kumwezesha Bibi Wu kuwa Mwakilishi wa Heshima kwenye majimbo ya Hong Kong na Macao ya nchini China |
Hivyo makala TANZANIA YAPATA MWAKILISHI WA HESHIMA HONG KONG NA MACAO
yaani makala yote TANZANIA YAPATA MWAKILISHI WA HESHIMA HONG KONG NA MACAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZANIA YAPATA MWAKILISHI WA HESHIMA HONG KONG NA MACAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/tanzania-yapata-mwakilishi-wa-heshima_3.html
0 Response to "TANZANIA YAPATA MWAKILISHI WA HESHIMA HONG KONG NA MACAO"
Post a Comment