title : Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid Akabidhi Mashine ya Kukatia Karatasi na Kuchonga.
kiungo : Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid Akabidhi Mashine ya Kukatia Karatasi na Kuchonga.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid Akabidhi Mashine ya Kukatia Karatasi na Kuchonga.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid kushoto akimkabidhi mashine ya kukatia karatasi na kuzichonga (Paper Polar 66) Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akiwa ameishika mashine ya kukatia karatasi na kuzichonga (Paper Polar 66) baada ya kukabidhiwa na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar, wakishuhudia Viongozi wa Wizara na wa Kiwanda cha Uchapaji Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya kale Mahmoud Thabit Kombo akizungumza baada ya kukabidhiwa Mashine ya Kukatia Karatasi na kuzichonga(PAPER POLAR 66)Katika hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.kulia yake ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Upigaji Chapa (ZAGPA)Mwengine ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Khadija Bakari Juma na wakwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Shirika la Upigaji Chapa(ZAGPA)Zanzibar.
Picha na Yussuf Simai -Maelezo Zanzibar)
Hivyo makala Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid Akabidhi Mashine ya Kukatia Karatasi na Kuchonga.
yaani makala yote Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid Akabidhi Mashine ya Kukatia Karatasi na Kuchonga. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid Akabidhi Mashine ya Kukatia Karatasi na Kuchonga. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/spika-wa-baraza-la-wawakilishi-zanzibar.html
0 Response to "Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid Akabidhi Mashine ya Kukatia Karatasi na Kuchonga."
Post a Comment