title : DC MJEMA :WATENDAJI NA VIONGOZI WENZANGU TUWASIKILIZE WANANCHI WETU TUMSAIDIE RAIS AFANYE KAZI YA KULETA MAENDELEO.
kiungo : DC MJEMA :WATENDAJI NA VIONGOZI WENZANGU TUWASIKILIZE WANANCHI WETU TUMSAIDIE RAIS AFANYE KAZI YA KULETA MAENDELEO.
DC MJEMA :WATENDAJI NA VIONGOZI WENZANGU TUWASIKILIZE WANANCHI WETU TUMSAIDIE RAIS AFANYE KAZI YA KULETA MAENDELEO.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akitembelea majimbo yote ya Wilaya hiyo kata kwa kata mtaa kwa mtaa,ambapo kwa Sasa yupo katika Jimbo la Ilala, amewataka Watendaji na viongozi wote wa mitaa na madiwani kusikiliza na kutatua Kero za wananchi zinazo wakabili ili kufanikisha lengo la Serikali ya Awamu ya Tano.Akizungumza Leo jijini Dar es salaam na wakazi wa Kisutu Pamoja na wafanyabiashara, katika ziara yake ya 24 amesema viongozi wa serikali za mitaa, kata hata ngazi za Wilaya kuwajibika kwa kuwahudumia wananchi wanapofika Ofisini na siyo kusubiri Hadi Viongozi wa ngazi za juu kufanya ziara.
DC Mjema amesema katika Jimbo la Ilala kero kubwa migogoro ya ardhi,na wenye pesa kuwaonea wanyonge,utumiaji mbaya wa madaraka na rushwa pamoja na viongozi kutowajibika katika maeneo yao kusikiliza wananchi.
Amesema ziara yake ni kutatua Kero za wakazi katika wilaya ya Ilala,awali jimbo la Ukonga,Segerea na sasa ni zamu ya Jimbo la Ilala na kwamba bado kata tano kumaliza kata zote 36.
Hivyo makala DC MJEMA :WATENDAJI NA VIONGOZI WENZANGU TUWASIKILIZE WANANCHI WETU TUMSAIDIE RAIS AFANYE KAZI YA KULETA MAENDELEO.
yaani makala yote DC MJEMA :WATENDAJI NA VIONGOZI WENZANGU TUWASIKILIZE WANANCHI WETU TUMSAIDIE RAIS AFANYE KAZI YA KULETA MAENDELEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC MJEMA :WATENDAJI NA VIONGOZI WENZANGU TUWASIKILIZE WANANCHI WETU TUMSAIDIE RAIS AFANYE KAZI YA KULETA MAENDELEO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/dc-mjema-watendaji-na-viongozi-wenzangu.html




0 Response to "DC MJEMA :WATENDAJI NA VIONGOZI WENZANGU TUWASIKILIZE WANANCHI WETU TUMSAIDIE RAIS AFANYE KAZI YA KULETA MAENDELEO."
Post a Comment