title : SIMBA NA YANGA HAKUNA MBABE, ZATOKA SARE 0-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO
kiungo : SIMBA NA YANGA HAKUNA MBABE, ZATOKA SARE 0-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO
SIMBA NA YANGA HAKUNA MBABE, ZATOKA SARE 0-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO
Mlinda mlango wa Timu ya Yanga, Beno Kakolanya akicheza moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake na Mshambuliaji wa timu ya Simba, Mediie Kagere, wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania bara, uliowakutanisha watani hao wa jadi, uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam. timu hizo zimetoka sare ya ya 0-0.
Kiungo wa Yanga, Abdallah Haji akiondosha hatari iliyokuwa ikielekezwa langoni kwake na Mshambuliaji wa Simba, Mediie Kagere, wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania bara, uliowakutanisha watani hao wa jadi, uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam. timu hizo zimetoka sare ya ya 0-0.

Beki wa Timu ya Simba, Pascal Wawa akiwania mpira wa juu na Mshambuliaji wa Timu ya Yanga, Heritier Makambo, wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania bara, uliowakutanisha watani hao wa jadi, uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam. timu hizo zimetoka sare ya ya 0-0.
Kiungo wa Yanga, Abdallah Haji akiondosha hatari iliyokuwa ikielekezwa langoni kwake na Mshambuliaji wa Simba, Mediie Kagere, wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania bara, uliowakutanisha watani hao wa jadi, uliopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam. timu hizo zimetoka sare ya ya 0-0.
Mgeni rasmi katika mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga, Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai akiwa ameongozana na Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakwembe pamoja na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinzia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakiingia uwanjani kwa ukaguzi wa vikosi hivyo, kabla ya kuanza kwa mchezo, uliopigwa jioni ya leo kwenye Dimba ya Taifa, jijini Dar es salaam. Mchezo huo umemalizika kwa sare ya 0-0.
Kikosi cha Timu ya Yanga kilichoanza leo.
Hivyo makala SIMBA NA YANGA HAKUNA MBABE, ZATOKA SARE 0-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO
yaani makala yote SIMBA NA YANGA HAKUNA MBABE, ZATOKA SARE 0-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA NA YANGA HAKUNA MBABE, ZATOKA SARE 0-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/simba-na-yanga-hakuna-mbabe-zatoka-sare.html
0 Response to "SIMBA NA YANGA HAKUNA MBABE, ZATOKA SARE 0-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO"
Post a Comment