WANANCHI NJOMBE WAKIRI KUKWAMA KATIKA BAADHI YA HUDUMA KWA KUKOSA VITAMBULISHO VYA TAIFA

WANANCHI NJOMBE WAKIRI KUKWAMA KATIKA BAADHI YA HUDUMA KWA KUKOSA VITAMBULISHO VYA TAIFA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANANCHI NJOMBE WAKIRI KUKWAMA KATIKA BAADHI YA HUDUMA KWA KUKOSA VITAMBULISHO VYA TAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANANCHI NJOMBE WAKIRI KUKWAMA KATIKA BAADHI YA HUDUMA KWA KUKOSA VITAMBULISHO VYA TAIFA
kiungo : WANANCHI NJOMBE WAKIRI KUKWAMA KATIKA BAADHI YA HUDUMA KWA KUKOSA VITAMBULISHO VYA TAIFA

soma pia


WANANCHI NJOMBE WAKIRI KUKWAMA KATIKA BAADHI YA HUDUMA KWA KUKOSA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Wananchi wa mkoa wa Njombe wameonyesha mwamko mkubwa kujitikoza kwa wingi kusajiliwa Vitambulisho vya Taifa wakielezea namna wanavyotegemea kuvitumia katika kupata huduma mbalimbali za kijamii.

Wilaya ya Njombe Halmashauri ya Mji wa Makambako, ambako zoezi la usajili linaendelea hivi sasa, wananchi wengi wamekiri kupoteza muda wao mwingi kufuatilia kupata vitambulisho vya Taifa kutokana na Umuhimu mkubwa wa Vitambulisho hivyo katika huduma mbalimbali za kijamii.

Bwana Alphonce Mtengela mkazi wa Njombe akiwa anasubiri kupata huduma amesema “Sasa hivi kila mahali wanahitaji Kitambulisho cha Taifa ili waweze kukuhudumia, nimekwama kuchukua Mkopo baada ya kutokuwa na Kitambulisho cha Taifa hivyo kuna haja ya kuwa nacho ili iwe rahisi kutambulika katika huduma za Kijamii”

Wananchi wa Mkoa wa Njombe katika Wilaya za Njombe, Ludewa, Wanging’ombe, Makete na Makambako wanaendelea na zoezi la Usajili utakaomalizika mwishoni mwa mwezi Februari mwaka huu.
Ndugu Nicholaus Lugandu mkazi wa Kijiji cha Ikelu Kata ya Ikelu Wilaya Njombe akichukuliwa alama za Vidole wakati akipatiwa huduma ya usajili na Utambuzi uliohusisha uchukuaji wa alama za Kibaiologia, saini ya Kielektroniki pamoja na Picha, zoezi linaloendelea hivi sasa katika Wilaya ya Njombe Halmashauri ya Mji wa Makambako.
Wakazi wa Kijiji cha Lyamkena Halmashauri ya Mji Makambako wakiwa nje ya Moja ya kituo cha Usajili wilayani Njombe wakisubiri kupatiwa huduma ya Usajili na Utambuzi ili kupatiwa Vitambulisho vya Taifa.
Bwana Alphonce Mtengela wa Kijiji cha Lyamkena Kata ya Lyamkena Wilaya Njombe akichukuliwa alama za Vidole wakati akipatiwa huduma ya usajili na Utambuzi uliohusisha uchukuaji wa alama za Kibaiologia, saini ya Kielektroniki pamoja na Picha, zoezi linaloendelea hivi sasa katika Wilaya ya Njombe Halmashauri ya Mji wa Makambako.
Bi. Anusiata Mwakalebela mwananchi mkazi wa wa Kijiji cha Lyamkena Kata ya Lyamkena Wilaya Njombe akichukuliwa alama za Vidole wakati akipatiwa huduma ya usajili na Utambuzi uliohusisha uchukuaji wa alama za Kibaiologia, saini ya Kielektroniki pamoja na Picha, zoezi linaloendelea hivi sasa katika Wilaya ya Njombe Halmashauri ya Mji wa Makambako.




Hivyo makala WANANCHI NJOMBE WAKIRI KUKWAMA KATIKA BAADHI YA HUDUMA KWA KUKOSA VITAMBULISHO VYA TAIFA

yaani makala yote WANANCHI NJOMBE WAKIRI KUKWAMA KATIKA BAADHI YA HUDUMA KWA KUKOSA VITAMBULISHO VYA TAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI NJOMBE WAKIRI KUKWAMA KATIKA BAADHI YA HUDUMA KWA KUKOSA VITAMBULISHO VYA TAIFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/wananchi-njombe-wakiri-kukwama-katika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANANCHI NJOMBE WAKIRI KUKWAMA KATIKA BAADHI YA HUDUMA KWA KUKOSA VITAMBULISHO VYA TAIFA"

Post a Comment