SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO

SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO
kiungo : SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO

soma pia


SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO

Uongozi na watumishi wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ( Idara Kuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto) tunaungana na ndugu, jamaa na Watanzania wote katika kuombeleza msiba mzito kwa Taifa baada ya ndugu zetu wapendwa kupoteza maisha katika ajali ya Kivuko cha Mv Nyerere iliyotokea katika Ziwa Victoria, tarehe 20 Septemba, 2018.

Tunatoa pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli , ndugu, jamaa na marafiki walioguswa na msiba huu na tunawaombea majeruhi wote wapone haraka.

Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi. Amina.

Imetolewa na:

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
(Idara Kuu Maendeleo ya Jamii)
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
22/09/2018


Hivyo makala SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO

yaani makala yote SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/salamu-za-rambirambi-kutoka-wizara-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO"

Post a Comment