ZANTEL YASITISHA MAUZO YA LAINI ZA SIMU KWA MAWAKALA

ZANTEL YASITISHA MAUZO YA LAINI ZA SIMU KWA MAWAKALA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZANTEL YASITISHA MAUZO YA LAINI ZA SIMU KWA MAWAKALA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZANTEL YASITISHA MAUZO YA LAINI ZA SIMU KWA MAWAKALA
kiungo : ZANTEL YASITISHA MAUZO YA LAINI ZA SIMU KWA MAWAKALA

soma pia


ZANTEL YASITISHA MAUZO YA LAINI ZA SIMU KWA MAWAKALA

Zantel inapenda kuwataarifu wateja wake, wadau na jamii kwa ujumla kuwa imesimamisha mauzo ya laini zake za simu kwa mawakala wake wakuu kuanzia sasa. Maamuzi haya magumu yamechukuliwa kutokana na tuhuma za kuwepo kwa matumizi kuanzia wa Zantel. Zantel imedhamiria kuzingatia na kusimamia sheria zote na kanuni zote pamoja na kufuata viwango vya juu vya maadili na kampuni haitavumilia vitendo vyovyote vya udanganyifu kupitia mtandao wake. Tunashirikiana na Mamlaka za serikali kushughulikia tuhuma za makosa haya na tutachukua hatua zote ili kuepusha hatari zaidi katika suala hili. Zantel inawahakikishia wateja wake kuwa hakuna madhara kwenye huduma zinazotolewa kwao na wateja wanaweza kuendelea kutumia huduma na kununua laini za simu katika maduka ya Zantel na mawakala wake usajili wa laini za Zantel. Imetolewa na uongozi wa Zanzibar Telecommunications PLC.


Hivyo makala ZANTEL YASITISHA MAUZO YA LAINI ZA SIMU KWA MAWAKALA

yaani makala yote ZANTEL YASITISHA MAUZO YA LAINI ZA SIMU KWA MAWAKALA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZANTEL YASITISHA MAUZO YA LAINI ZA SIMU KWA MAWAKALA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/zantel-yasitisha-mauzo-ya-laini-za-simu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZANTEL YASITISHA MAUZO YA LAINI ZA SIMU KWA MAWAKALA"

Post a Comment