NEWS ALERT: KIPINDI KIPYA KUTIKISA TANZANIA, NI "STUKA" CHENYE UCHESHI NA ELIMU.

NEWS ALERT: KIPINDI KIPYA KUTIKISA TANZANIA, NI "STUKA" CHENYE UCHESHI NA ELIMU. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEWS ALERT: KIPINDI KIPYA KUTIKISA TANZANIA, NI "STUKA" CHENYE UCHESHI NA ELIMU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEWS ALERT: KIPINDI KIPYA KUTIKISA TANZANIA, NI "STUKA" CHENYE UCHESHI NA ELIMU.
kiungo : NEWS ALERT: KIPINDI KIPYA KUTIKISA TANZANIA, NI "STUKA" CHENYE UCHESHI NA ELIMU.

soma pia


NEWS ALERT: KIPINDI KIPYA KUTIKISA TANZANIA, NI "STUKA" CHENYE UCHESHI NA ELIMU.

Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, kipindi kipya chenye mahadhi ya pranks (kumstua mtu huku ukimrikodi anavyostuka, bila yeye kufahamu), kinaanza mwezi Oktoba. 
 Katika mahojiano maalum na mwasisi na mendeshaji wa kipondi hicho, mwanahabari wa kimataifa wa Tanzania Joseph Msami, ambaye hivi karibuni alikuwa mtayarishaji wa vipindi wa Idhaa ya Kisahili ya Umoja wa Mataifa mjini New York, amesema STUKA ni kipindi amabacho kitawaelimisha watanzania kaika Nyanja mbalimbali kama za kijami, kiuchumi kwa kutumia mbinu za burudani. 
 Msami amesema kipindi hicho ambacho hutumia mbinu ya kamera isiyo hadharani na kuwanasa wakazi katika pitapita zao za kila siku, hakimlengi mtu maalum wala kumuandaa yeyote (Reality Show) na kitatoa burudani ya kutosha kutokana na maadalizi yaliyofanywa na timu ya STUKA kwa zaidi ya miezi mitatu. 
 Amesema timu hiyo inayojumuisha wataalamu wa maudhui ya habari, picha na sauti imekuwa katika mafunzo maalum yaliyolenga kuhakikisha umma unapata elimu na burudani kwa kuzingatia weledi. Kipindi chicho kitakachorushwa na kituo cha televisheni ya TVE katika muda ambao watazamaji wengi huangalia runinga (Prime Time ), na kurudiwa mara kadhaa ili kutoa fursa kwa watazamaji kuona uhondo huo kwa wingi.


Hivyo makala NEWS ALERT: KIPINDI KIPYA KUTIKISA TANZANIA, NI "STUKA" CHENYE UCHESHI NA ELIMU.

yaani makala yote NEWS ALERT: KIPINDI KIPYA KUTIKISA TANZANIA, NI "STUKA" CHENYE UCHESHI NA ELIMU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEWS ALERT: KIPINDI KIPYA KUTIKISA TANZANIA, NI "STUKA" CHENYE UCHESHI NA ELIMU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/news-alert-kipindi-kipya-kutikisa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEWS ALERT: KIPINDI KIPYA KUTIKISA TANZANIA, NI "STUKA" CHENYE UCHESHI NA ELIMU."

Post a Comment